Chris Brown might be the best dancer ever....

I'm tempted to think so....the boy is light on his feet like he ain't got no bones!

Interesting...
lakini naona American people hawajamsamehe since ishu ya Rihanna
angekuwa more successful kuliko alivyo now
 
Interesting...
lakini naona American people hawajamsamehe since ishu ya Rihanna
angekuwa more successful kuliko alivyo now

Yup...you're right.

In America beating a woman is severely frowned upon!

Isingekuwa hiyo ishu ya Rihana nadhani angekuwa na mafanikio makubwa zaidi....
 
Can't believe brown better than MJ. Labda baadae sana.
 
Pamoja na kujifunza lakini hawa ni talented in this case

Natural talent lazima iwepo....

Ni kama wachoraji tu, hususan wale wanaochora sketch composites za wahalifu.

Natural talent ya uchoraji lazima iwepo na juu yake ndo wanaongezea na ujuzi wa kujifunzia darasani kidogo tu...

Na ndo maana unakuta wanaweza kuichora picha ya mtu bila hata ya kumwona huyo mtu na kweli ikatokea kama huyo mtu alivyo.

Amazing talent.
 
Kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom