Miss Kagera mwaka 1999, Bridgitte Buyuya afariki dunia. Azikwa makaburi ya Bunena, Bukoba

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787
Miss Kagera mwaka 1999, Miss Bridgitte Buyuya alifariki dunia siku ya tarehe 26/05/2017 na kuzikwa siku ya leo tarehe 30/05/2017 katika makaburi ya Bunena, Manispaa ya Bukoba.

Marehemu alizaliwa tarehe 09/06 1978

18739918_1414678968594039_2024558941535860269_n.jpg
18768497_1339400149477120_8028517549962194002_o.jpg
18739703_1505847556171617_5391987164923170661_n.jpg
18765593_1340473539369781_9217038339459685330_n.jpg
 
Sijui kwanini siku hizi makaburi yamekua na vimo vifupi sana kuliko zamani,sijui ni upungufu wa nguvu za mwili unaosababishwa na sababu mbalimbali,mi sijui,ok! R.I.P.
Vija wamekuwa mdebwedo sababu ya kula chips hawezi kutoboa miamba tena..
 
Sijui kwanini siku hizi makaburi yamekua na vimo vifupi sana kuliko zamani,sijui ni upungufu wa nguvu za mwili unaosababishwa na sababu mbalimbali,mi sijui,ok! R.I.P.

Ukiona kina sio kifupi basi jua hakuwa mchawi huyo. Siku ukiona kina kirefu utakuwa unajua nini maana yake.
 
Back
Top Bottom