Anasema kujapewa sumu bali alipata stroke BP ikapanda ikapelekea damu kumwagika kwenye ubongo.
Daktari akasema hawezi kurudia kama kawaida.
Madaktari walitaka kumfanyia operation ila presha ikawa 220 wakati normal BP ni 120.
Dokta alipoona hawezi kupona tena aliniita nije kumuaga na baada ya kumuaga saa 2 usiku nikapigiwa simu mgonjwa wako amekufa.
Watu wanasema kuna bifu kati yangu na familia ya Ivan ila sina bifu na familia ile.