Shetta na sababu za kutokuwa karibu na Diamond kwa sasa

GTA

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
878
649
Shetta na Diamond Platnumz walikuwa washikaji sana na muda mwingi walikuwa wakionekana pamoja hata katika post za mitandao ya kijamii, Muda mrefu kwa sasa washikaji hatuwaoni kama zamani na kujiuliza kulikoni..? Majibu anayo Shetta alipokuwa akizungumza na HZB TV msikilize.
 
Diamond Mtu Mbaya sana..

Alikula Mke wa Shettah..
Shettah akasikia alaf akaenda kumuuliza kiupole unategemea Diamond ajibu Ndiyo.?
Diamond akakataa..

Lakini Shettah alikuta mesej kwenye simu ya wife wake hvyo alikuwa na uhakika..

Alivyo Bwege hajamuacha huyo mwanamke..
Inawezekana Mpka sasa Diamond anaendelea kumla
 
Haya mambo waache wanadaresalama mkuu!
Vipi huko rukwa nasikia bei ya mahindi imeshuka kweli! Hongereni kwa mavuno.....
aisee imeshuka sana. hata bei ya mchele wa kamsamba imeshuka na mwake huu tumepata mavuno mengii. binafsi nimepata gunia za mpunga kama 500 tu, mahindi 270. muda mwingi niko kazini nikipata muda naibia naenda kukagua shambani kinachoendelea ndio maana majina ya kashata sijui sheta sijui daimondi mnashinda mkibishana nyinyi wanaume wa darisalamu, wakati mfukoni hamna kitu, njaa zinawauma mnaishia kwenda kula kashata, kababu na ships mnalala. mkiamka mnashangaa magorofa na hotel ambazo sisi tukija huko tunalala,kumbe mchana mnapiga dash kwa maji jioni chips...kutwa mnaongelea maisha ya sheta na daimondi.
 
Duh!! We jamaa umeulizwaaa????
 
Back
Top Bottom