Uncle wa IVAN( baba) aomba msamaha kwa Zari

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,879
7,382
Siku chache baada ya aliekuwa mume wa Zari kufariki, aliibuka mzee Herbet Lunyinda uncle wa IVAN na kujitambulisha kama baba wa Ivan huku akisema hawamtambui Zari na hahusiki na chochote.

Lakini leo wakati wa kuaga mwili wa kanisani alimuomba Zari msamaha na watu wote. Katika misa hiyo, Zari alipewa muda wa kutoa speech na kuahidi kuwalea watoto wake vizuri na kuendeleza mali zote na kuhakikisha legacy ya marehemu haipotei.

Uncle Apologises

In a twist of events, Semwanga’s uncle Herbert Luyinda took the opportunity of the requiem mass to apologise for dividing the deceased’s family.

Last week, Luyinda told journalists that Ssemwanga’s children will be taken for DNA
tests to prove they belonged to him, raising dust among family members.
The deceased’s uncle also claimed Zari doesn’t have any shares on Ivan’s property accusing her of leaving their marital home and got married to another man.

However on Monday, the deceased’s uncle apologized for the statements he had earlier made in public. “I apologise for any mistakes that I made. Let us stay together, ” Ivan’s uncle said during the requiem mass at Namirembe cathedral.

2-58.jpeg

4-31-800x534.jpeg

The mother of Ivan Semwanga’s children, Zari Hassan has promised to look after the kids. Speaking during Semwanga’s Church service at Namirembe Cathedral, Zari said she is a strong lady who is willing and ready to take care of her children.

“I have cried since he was hospitalized. I am now strong,” Zari said. “My mother raised me single-handedly and taught me to be strong. I will do the right thing
for him and the boys.” Zari, who is now married to Tanzanian singer Diamond Platnumz said Ivan’s 3 children are her own blood that she can’t leave to wander in the world.
 
Watu wana moyo video zote sijaona zari akilia kwa uchungu Nijuavyo kumpoteza mme ni kitu kikubwa sana. Nilitegemea kuona akipiga ukunga na mda huu angekua hata sauti haitoki, wiki mzima mfiwa sauti haitoki kabisa dah ana moyo.

mfiwa anapataga nguvu wapi kushika maiki akaongea? Sauti mubashara?mmmh? Au kwa kuwa ana mme kipenzi?

Anyway ni mtizamo wangu msinihukumu huwa niko emotional

Apumzike ivan.
 
Anyway ni mtizamo wangu msinihukumu

Apumzike ivan.
account inasoma benk alie nini? angeachwa nyumba ya mkopo.gari ya mkopo watoto ada ya mkopo angebebeka kweli?
ila wanaume wetu acheni kukopa jamani kumbukeni kuna kesho
 
Watu wana moyo video zote sijaona zari akilia kwa uchungu Nijuavyo kumpoteza mme ni kitu kikubwa sana. Nilitegemea kuona akipiga ukunga na mda huu angekua hata sauti haitoki, wiki mzima mfiwa sauti haitoki kabisa dah ana moyo.

mfiwa anapataga nguvu wapi kushika maiki akaongea? Sauti mubashara?mmmh? Au kwa kuwa ana mme kipenzi?

Anyway ni mtizamo wangu msinihukumu

Apumzike ivan.
Sio mume ni ex-mume. Kujigaragaza kutasaidia nini?
 
Watu wana moyo video zote sijaona zari akilia kwa uchungu Nijuavyo kumpoteza mme ni kitu kikubwa sana. Nilitegemea kuona akipiga ukunga na mda huu angekua hata sauti haitoki, wiki mzima mfiwa sauti haitoki kabisa dah ana moyo.

mfiwa anapataga nguvu wapi kushika maiki akaongea? Sauti mubashara?mmmh? Au kwa kuwa ana mme kipenzi?

Anyway ni mtizamo wangu msinihukumu huwa niko emotional

Apumzike ivan.

Unataka alie kama wangoni?
 
Ndugu kumbuka ni mume wa zamani huzuni alonayo ni kwa sababu watoto wana huzuni tu na hivi mali kaachiwa watoto watakula na kusoma ahuzunike nini? Hata hivyo ana roho nzuri huyu mama! Kuna msemo maarufu 'oa single mother ikiwa mume/mzazi mwenzake amekufa'
 
Watu wana moyo video zote sijaona zari akilia kwa uchungu Nijuavyo kumpoteza mme ni kitu kikubwa sana. Nilitegemea kuona akipiga ukunga na mda huu angekua hata sauti haitoki, wiki mzima mfiwa sauti haitoki kabisa dah ana moyo.

mfiwa anapataga nguvu wapi kushika maiki akaongea? Sauti mubashara?mmmh? Au kwa kuwa ana mme kipenzi?

Anyway ni mtizamo wangu msinihukumu huwa niko emotional

Apumzike ivan.
angepiga ukunga mgesema ni mnafiki.
 
Unatafuta kuchambwa na Team bosslady
shaurizoo
 
Watu wana moyo video zote sijaona zari akilia kwa uchungu Nijuavyo kumpoteza mme ni kitu kikubwa sana. Nilitegemea kuona akipiga ukunga na mda huu angekua hata sauti haitoki, wiki mzima mfiwa sauti haitoki kabisa dah ana moyo.

mfiwa anapataga nguvu wapi kushika maiki akaongea? Sauti mubashara?mmmh? Au kwa kuwa ana mme kipenzi?

Anyway ni mtizamo wangu msinihukumu huwa niko emotional

Apumzike ivan.
Wanaopiga ukunga ni wafiwa wa bongo kwa sababu wamejaa unafiki
 
Back
Top Bottom