Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Katika kuadhimisha siku ya kina Baba Duniani,Leo Diamond akiwa nchini South Africa Ameamua kuwafanyia Watoto wa Zari wote watatu Shopping Ya nguo katika moja Ya Mall za Gharama South Afrika...
7 Reactions
49 Replies
10K Views
Mungu Mkubwa am great fan of this singer kama hajaweka Matabara she is real expecting Natamani apate mtoto and my little Girl is called Judith kwa sababu Mimi ni fan wake mno! Wasomi wa...
5 Reactions
82 Replies
20K Views
Habarini wakuu Nimetokea kushangaa sana kuona Alikiba baada ya Diamond kuonekana akizungumza kwamba hana tatizo na kiba naye kiba kaonesha katika mtandao wake wa Instagram kwamba hajaridhia kabisa...
5 Reactions
255 Replies
40K Views
Mnyama TID anadai alipwe miliion ishirin kabla hajawapeleka kuwalaza central Quick lock kwa wiz wa nyimbo yake aliyoiba ambayo mnyama anadai hapo awali hiyo nyimbo iliweza kubeba tuzo mbili habal...
2 Reactions
46 Replies
6K Views
Msanii huyo amesema kiasi hicho ilikuwa ni kulala hotelini na kununua madawa na alikuwa akizipata kwa kupiga mizinga
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Katika hali ya kushangaza leo mwanadada huyu mrembo ameamua kuweka hadharani hali halisi aliyokuwa nayo katika mahusiano na mniger Yommy kutoka Dubai. Mahusiano yalikuwa ya vipigo, mwanaume...
3 Reactions
58 Replies
12K Views
Ile couple iliyotikisa sana mjini pande zote bara na visiwani kati ya wasanii wawili imevunjika, ikiwa ni siku moja toka jux akamatie degree yake huko uchinani la kupokea pongezi nyingi kutoka kwa...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
ejaribu kufuatilia hili bifu kati ya msani wa Hip hop GodZilla kutokea sala sala dhidi ya msanii anayejiita wakazi kiukweli nilichokibaini katika sakata hili ni kwamba huyu Wakazi anatafuta pa...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
MWIMBAJI staa wa muziki wa asili nchini, Saida Karoli mwishoni mwa mwaka jana alirudi kwa kishindo kwenye ulimwengu Bongo Fleva, baada ya wasanii watatu kutumia vionjo vya nyimbo zake katika kazi...
13 Reactions
44 Replies
13K Views
Homa la pambano la Floyd Mayweather na Conor MCGregor inazidi kupamba moto na kwa sasa bei za tickets zimeshatangazwa tayali ambapo wale wapenzi wa Boxing nikiwemo mimi mwenyewe tumeshaanza...
0 Reactions
75 Replies
8K Views
Msanii toka WCB Rayvanny amepata nomination katika tuzo za BET awards 2017 katika kipengele cha Best International Viewers Choice Awards. Rayvanny ndo msanii peke toka ukanda wa Afrika Mashariki...
6 Reactions
58 Replies
14K Views
Habar wanajamvi... Kijana kutoka Ntwara ajulikanae kama *Harmorapa* hit maker wa Nundu... Nimekuwa nikimfuatilia sana kupitia social media mbali*2 lakini nimekuja kugundua kuwa kinacho mpa jina...
1 Reactions
4 Replies
996 Views
LLP Feat MIKE DIAMONDIZ - Muziki: FIRE" Diamond platnumz feat Tiwa Tiwa Savage - Muziki: FIRE. Hitimisho: Diamond kakopi na kupaste Nina LA muziki kutoka kwa msanii mwingine. Swali: wasanii...
3 Reactions
44 Replies
9K Views
Msanii Dully Skyes ambaye sasa anafanya vyema na ngoma yake 'Yono' amefunguka na kusema kuwa yeye alianza kufanya muziki wa bongo fleva ili awe mtu maarufu na kuanza kupata wanawake. Msanii Dully...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwanamuziki Juma Jux ukipenda muite African Boy, leo amehitimu masomo yake nchini China ambapo ametunukiwa Shahada ya Awali (Bachelor Degree) katika masomo ya Sayansi ya Kompyuta (Computer...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Mwigizaji wa bongo Movie, Yusuph mlela ameendelea kusisitiza kwamba hana bifu lolote na mwimbaji Ney wa Mitego na kwamba aliamua kumchana kipindi kile kwa sababu aliingilia kazi zao bongo muvi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Mwanamitindo Jokate Mwegelo leo Ijumaa ametoa zawadi za Eid katika kituo cha yatima na wajane cha Ahbaabul Khairiya kilichopo Mwananyamala B, jijini Dar es Salaam. Katika zawadi...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
ADAM MCHOMVU NA KAULI YA KUMCHAFUA LADY JAYDEE FACEBOOK Mtangazaji wa Clouds FM, Adam Mchomvu amejikuta kwenye wakati mgumu baada leo akaunti yake ya Facebook kuonesha imepost link yenye kichwa...
3 Reactions
26 Replies
15K Views
Msanii aliyekuwa ameathirika na madawa Chid Benz akiwa anahojiwa Clouds amemdiss meneja wa WCB Bab Tale kwenda kumtangaza ameshindikana na amerudia tena madawa Amesema kama alimuona anafanya jambo...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…