Vera Sidika aelezea siri ya mahusiano yake na kaka wa kinaija

brenda18

JF-Expert Member
Sep 17, 2013
5,652
2,000
uploadfromtaptalk1498073456553.png
eba05851b4945614ea1eb0d58ac824b5.jpg
uploadfromtaptalk1498073561488.png
uploadfromtaptalk1498073609145.pngKatika hali ya kushangaza leo mwanadada huyu mrembo ameamua kuweka hadharani hali halisi aliyokuwa nayo katika mahusiano na mniger Yommy kutoka Dubai. Mahusiano yalikuwa ya vipigo, mwanaume hakuwahi kumuhudumia, etc mambo yote kaweka na ushahidi kitu kilichoshangaza watu huko Instagram

My take:
Kumbe hawa warembo maarufu na wao huwa wanaumizwa na kuwa kwenye mahusiano yenye mateso kama sisi wa uswekeni hata average Joe's wanaweza kuwapata hawa wadada nilijua wana hang out na madangote ya ukweli, mwanamke mtafutaji, mrembo etc unawezaje kusumbuliwa na marios, khee!!
uploadfromtaptalk1498074568850.png
 
Maserati

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
11,618
2,000
Vera sindika ndio nani???
Vera sidika buana. Wasiliana na mods warekebishe hiyo heading or else jf hii ninayoijua mimi... Itakuwa vituko tupu.

BTW kumbe alikuwa Na kung'utwa, but she is ass boss b*tch sijui kama ana kazi nyingine
 
Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
7,569
2,000
Ona wadada wanaojitambua hao, wanatumia papuchi na misambwanda kumake maisha, ila akina gigy na the likes wao wanatumia kununulia Hennessy na kuyabinua vilabuni.

Asee afu unakuta huyu mdada hata sio fundi kama wale madada zetu wa uswekeni.
 
typing error hio wataelewa tu

alikuwa anakula kichapo ila anavumilia
 
brenda18

JF-Expert Member
Sep 17, 2013
5,652
2,000
Ona wadada wanaojitambua hao, wanatumia papuchi na misambwanda kumake maisha, ila akina gigy na the likes wao wanatumia kununulia Hennessy na kuyabinua vilabuni.

Asee afu unakuta huyu mdada hata sio fundi kama wale madada zetu wa uswekeni.
na kweli kwa bongo sijaona mwenye maendeleo kama vera, angalau tunaona matunda ya udangaji wake sio hawa wa kwetu huku
 
PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
10,103
2,000
Huyo jamaa wenyewe kisuruali kimembana kama wale wacheza kiduku
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom