Bei ya tiketi moja ya pambano la Floyd na McGregor ni sawa na kujenga maghorofa 80 TZ

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
7,695
2,000
Homa la pambano la Floyd Mayweather na Conor MCGregor inazidi kupamba moto na kwa sasa bei za tickets zimeshatangazwa tayali ambapo wale wapenzi wa Boxing nikiwemo mimi mwenyewe tumeshaanza kuzigombania kama njungu .


Mashabiki wengi wa Boxing hasa wale wapenzi wa floyd tumekuwa na kiu kubwa sana ya kumuona Floyd akirudi tena ulingoni kuendeleza mtanange kama kawaida ingawaje 40% ya wapenzi wa boxing wamemtabiria Floyd kupoteza pambano hilo.

Mbali na mashabiki wa boxing ,Floyd yeye mwenyewe amekiri kwa kinywa chake kwamba kuna probability kubwa sana ya kupoteza pambano hilo kwa sababu yeye umri umeshamtupa mkono na mtu anayekwenda kupambana naye bado damu inachemka sana ,hivyo basi lolote lile linaweza kutokea

Screenshot_2017-06-22-15-31-59_1.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom