wakazi wacha maneno bado ni underground, zilla ni bro wako kwa game

ubuntuX

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
1,877
2,000
ejaribu kufuatilia hili bifu kati ya msani wa Hip hop GodZilla kutokea sala sala dhidi ya msanii anayejiita wakazi

kiukweli nilichokibaini katika sakata hili ni kwamba huyu Wakazi anatafuta pa kutokea kwani jamaa ameimba kwa muda kidogo lakini hana jina wala mafanikio yoyote kutokana na muziki wake!

nimejaribu kufuatilua nione uwezo wake kimuzi, kiukweli jamaa anajikuza saaana na kwa Kingzilla ameparamia tu apate pa kutokea!
huyu jamaa hana hit song ambayo anaweza jivunia tangu aanze game, lakini anajikuta saana wakati hata akisimama na Harmorapa KO itamuhusu!

Godzilla ni bongo hip hop star, nimemfaham na kumskiliza kitambo kidogo na ngoma zake kali zoteee kama Kingzila, sala sala, Milele, kila wakati, illuminat, nataka, na yingine nyiiiiiiiingi tu
but kwa sasa ni Power tu ndio habari yao!

wakazi wacha maneno na dis za kijinga, jikite zaidi kwenye kazi ukuze mziki wako maana huku kitaani watu ndio wanaanza kuuliza ni nani huyu anamsumbua king zi, so hata kazi zako hazisikiki wala hazifahamiki!


hii kiki itaendelea kukuzamisha kama ulivyozamishwa na ile kiki uliyoitafuta kwa Nikki mbishi na ukapuuzwa
 

mimi mkali

JF-Expert Member
Dec 14, 2012
1,800
2,000
Wakaz ni muimbaji kumbe!okay
beef na dis na kujigamba ni kawaida kwa Ma rapper jomba punguza povu..na unaposema wakaz hajafanikiwa unapimaje mafanikio labda?Hata kufahamika tu ni mafanikio.
 

ubuntuX

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
1,877
2,000
Umeanza kumjua wakazi mwaka huu halafu unajiita mfuatiliaji wa Hip hop, mkuu umezingua sana.
huenda kweli mkuu, maana bila hii bifu na king zila sidhani kama wadau watamsikia kupitia kazi zake!

nipe hata kazi zake tatu zilizohit bongo au zibazomtambulisha
 

BAKOI

JF-Expert Member
Jan 31, 2016
1,188
2,000
Zillnass muda sio mrefu anaelekea kwenye ngada kwa stress alizonazo maana nilimchek YouTube akihojiwa na times kwa kwwli anahali mbaya Sana tena Sana.
Badala ya kumdiss huyo wakazi anza kumsaidia zillnass kimawazo.
Kwasasa Hana lolote zillnass. Huyo wakazi kamzidi Sana tena sana
 

ngugi wa thiongo

Senior Member
Aug 22, 2013
106
225
wakazi ni international bro.nimeanza kumjua wakazi tangu anafanya rap marekani!!amekaa uko zaidi ya miaka 10,ameshaimba hadi kwenye matamasha ya big brother south africa,anajulikana sana nje kuliko hpa maana yeye mara nyingi anaghani kwa kiingereza!!!bongo hakujikita sana ndio nw anaanza kujikita!!husimsemee mtu kama haujui profile yake bro.
 

ngugi wa thiongo

Senior Member
Aug 22, 2013
106
225
wakazi ni international bro.nimeanza kumjua wakazi tangu anafanya rap marekani!!amekaa uko zaidi ya miaka 10,ameshaimba hadi kwenye matamasha ya big brother south africa,anajulikana sana nje kuliko hpa maana yeye mara nyingi anaghani kwa kiingereza!!!bongo hakujikita sana ndio nw anaanza kujikita!!husimsemee mtu kama haujui profile yake bro.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom