Sasa ni rasmi penzi la Jux na Vanessa kwishnei

ZionTZ

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,283
538
Ile couple iliyotikisa sana mjini pande zote bara na visiwani kati ya wasanii wawili imevunjika, ikiwa ni siku moja toka jux akamatie degree yake huko uchinani la kupokea pongezi nyingi kutoka kwa mpenzi wake wa zamani vmoney watu wengi waliamini jini mkata kamba kashindwa ila ghafla leo mwanadafada akiwa anapigwa interview kaaamua kuanika ukweli wote hadharani, chanzo inaemekana ni ile issue ya vanesa kutajwa kwenye list ....wajuzi wa mambo tusaidieni hii inahusikaje??

 
Kama wameachana haina taabu.
Na kama bitoz huyu jux alimfikisha katika vilelele vyote vya usambara,Kilimanjaro mpaka everest basi itakuwa ni habari njema.

Mapenzi sio vita,ukiona maji yamezidi unga kiungwana unaachia nafasi na wengine pia wanufaike na Maisha yanasonga kama kawaida.

Hakuna ulazima wakuishi katika Mahusiano kwa kufurahisha umati unaokuzunguka,umezaliwa peke yako fanya maamuzi yaliyo sahihi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom