Vanessa awashukia waliokuwa wakidai Jux hasomi

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,245
2,000
Mwanamuziki Juma Jux ukipenda muite African Boy, leo amehitimu masomo yake nchini China ambapo ametunukiwa Shahada ya Awali (Bachelor Degree) katika masomo ya Sayansi ya Kompyuta (Computer Science) kutoka Chuo Kikuu cha Guangdong nchini China.

Kwa muda mrefu watu mbalimbali wamekuwa wakihoji kuwa Jux anafanya nini China huku wengine wakidiriki kusema kuwa alikuwa akijihusisha na biashara ya dawa za kulevya kwa sababu hawakuwahi kuona hata picha yake akiwa darasani ili kuthibitisha aliyokuwa akiyasema kuwa anasoma.

Akiandika katika ukurasa wake wa Instagram, Jux amesema kuwa katika miaka minne aliyokuwa akisoma alikumbana na vikwazo vingi ambavyo vilikaribia kumkatisha tamaa lakini baadhi ya watu walimtia moyo na leo amehitimu.

Mbali na Jux, mpenzi wake, Vanessa Mdee ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram akimsifia kuwa afadhali amemaliza na picha zake sasa zimeonekana kwa sababu watu walikuwa wakiuliza maswali mengi kuwa anafanya nini China.

“Congratulations @juma_jux U finally done and you done did it well. Hapo watu walikuwa wakiombaga picha za wewe darasani nadhani hii picha jibu la kutosha.”

Mbali na hilo, Vanessa amempongeza Jux kwa kufanikiwa kufanya kwa pamoja, muziki, biashara na bado akaweza kuzingatia masomo yako jambo ambalo huwashinda watu wengi.

“Umeweza kufanya yote, MZIKI, BIASHARA NA SHULE… now that’s exceptional. Muda wa vibunda babaaa. Keep inspiring the YUTEEEEE
 
mirisho pm

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
3,242
2,000
Thats why the fags won't make it further...

Sasa unaringia degree ya chuo cha kata China?

BTW... Hawa wasanii inabidi wajifunze public relations and marketing......

Huo upuuzi wa kujisifia hata ukipanda ndege tayar umeshaua bongo Muvie na sasa unainyemelea tasnia two, yet wanangaa macho tu.....
Hawajiulizi soko lao la muziki ni lipi na wanauza product ipi, hilo Wala hawajali.....

Jux, V money, with all the due respect, pls grow up...... Use your talents to change the game...... Mashabiki uchwara hawawasaidiii lolote.....
C'mon guys, find some quality geeks out there, who can buy your works
 
witnessj

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
16,714

Mkuu unajua kuchamba kwa kidhungu hadi nimetamani
 
Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,253
2,000
Mwanamuziki Juma Jux ukipenda muite African Boy, leo amehitimu masomo yake nchini China ambapo ametunukiwa Shahada ya Awali (Bachelor Degree) katika masomo ya Sayansi ya Kompyuta (Computer Science) kutoka Chuo Kikuu cha Guangdong nchini China.

Kwa muda mrefu watu mbalimbali wamekuwa wakihoji kuwa Jux anafanya nini China huku wengine wakidiriki kusema kuwa alikuwa akijihusisha na biashara ya dawa za kulevya kwa sababu hawakuwahi kuona hata picha yake akiwa darasani ili kuthibitisha aliyokuwa akiyasema kuwa anasoma.

Akiandika katika ukurasa wake wa Instagram, Jux amesema kuwa katika miaka minne aliyokuwa akisoma alikumbana na vikwazo vingi ambavyo vilikaribia kumkatisha tamaa lakini baadhi ya watu walimtia moyo na leo amehitimu.

Mbali na Jux, mpenzi wake, Vanessa Mdee ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram akimsifia kuwa afadhali amemaliza na picha zake sasa zimeonekana kwa sababu watu walikuwa wakiuliza maswali mengi kuwa anafanya nini China.

“Congratulations @juma_jux U finally done and you done did it well. Hapo watu walikuwa wakiombaga picha za wewe darasani nadhani hii picha jibu la kutosha.”

Mbali na hilo, Vanessa amempongeza Jux kwa kufanikiwa kufanya kwa pamoja, muziki, biashara na bado akaweza kuzingatia masomo yako jambo ambalo huwashinda watu wengi.

kwa hiyo hiyo course ndio kasoma miaka 9? au alikuwa anarudia rudia.....?

“Umeweza kufanya yote, MZIKI, BIASHARA NA SHULE… now that’s exceptional. Muda wa vibunda babaaa. Keep inspiring the YUTEEEEE
 
gwa myetu

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
4,398
2,000
Hongera Jux hata kama ni degree ya chuo cha kata, vipi Alikiba na Diamond nao wajitahidi wapate hata vyetu vya Veta
 
ALLEX

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
2,014
1,225
Unaweza pia kihudhuria mahafali ya mshkaji na ukajiongeza kidogo ukavaa joho lake na kujiphotoa pic za kutosha tu . Ukizingatia ni miaka ya utandawazi ngoja tuwasubiri wajuzi watupe website ya chuo tuangalie wahitimu.
 
kisepi

JF-Expert Member
Jun 9, 2015
1,871
2,000
Thats why the fags won't make it further...

Sasa unaringia degree ya chuo cha kata China?

BTW... Hawa wasanii inabidi wajifunze public relations and marketing......

Huo upuuzi wa kujisifia hata ukipanda ndege tayar umeshaua bongo Muvie na sasa unainyemelea tasnia two, yet wanangaa macho tu.....
Hawajiulizi soko lao la muziki ni lipi na wanauza product ipi, hilo Wala hawajali.....

Jux, V money, with all the due respect, pls grow up...... Use your talents to change the game...... Mashabiki uchwara hawawasaidiii lolote.....
C'mon guys, find some quality geeks out there, who can buy your works
you nailed it bro
 
middle east

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
1,205

Acha kuzngua .....chuo cha kata ndo nn ..mbona una wivu wa kingese
 
nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
8,073
2,000
Akamtoe na yule sasa, maana alihangaika hadi kufikia hatua ya kumfata balozi lakini wachina wakasema hatoki mtu hadi kifungo kiishe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom