Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wakuu kuna muda nilishawahi kujinasibisha kama Nabii. Sasa leo nawaletea huyu msanii wa mwaka huu anaitwa Midas the Jagaban Natabiri kwa mwakani atakuwa kwenye conversation moja na kina Rema na...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Duh! Ila kweli Diamond ni simba, habari za chini ya carpet inasadikika kuwa Diamond alimla Poshy Queen. Aise! Kama hizi habari ni kweli basi Diamond kanishinda tabia. Huyu Diamond, yaani wadada...
11 Reactions
193 Replies
25K Views
Wasalaam, Meneja wa Diamond Platinumz ambaye amefiwa siku tatu zilizopita ,kuanzia leo ameanza mchakato na kuendelea na mchakato wa kugombea ubunge wa Morogoro vijijini tiketi ya CCM. Pamoja na...
20 Reactions
420 Replies
39K Views
Msanii maarufu wa rap music Curtis Jackson ama 50 Cent mzee wa just little bit, 21 questions, amusement park amesema watu wachague Donald Trump. 50 Cent ameendelea kudai kua watu wanaosema Trump...
5 Reactions
31 Replies
47K Views
DIAMOND PLATNUMZ Ashinda Tunzo Msanii Bora Wa Mwaka Africa | Afrimma Awards 2017
6 Reactions
82 Replies
27K Views
Hizi tuzo mwanzo zilikuwa na ushawishi sana kipindi hicho. Kiasi kwamba ukichukua tuzo ya AFRIMMA ni heshima kubwa lakini kwa sasa baada ya wanaija kuona watu wamezipuuzia wakaanza kuvuta...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Moja ya habari kubwa inayogonga vichwa vya habari hivi sasa ni hii ambapo katika hali ya kushangaza, Ukurasa rasmi wa #Instagram wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis...
14 Reactions
109 Replies
15K Views
Wakuu nadhani kwa wenye kumbukumbu za huyu dogo anaitwa Mayunga aliwahi kushinda shindano la Africa nadhani ilikuwa Project fulan hivi siikumbuki vizuri, ila alivyoshinda alibahatika kufanya Ngoma...
7 Reactions
40 Replies
6K Views
Matarajio ya straika Mnijeria Victor Boniphace kufunga ndoa na mchumba wake mrembo wa Norway Rikke Ermine yamezikwa rasmi baada ya kutokea mtafaruku wa kimakubaliano.Mrembo Rikke Ermine akiweka...
9 Reactions
24 Replies
1K Views
Ndugu wawili vijana waliojipatia umaarufu mtandaoni Tiktok kwa kuishi maisha ya kibilionea na wakitoa motisha kwa vijana wengine kupambana wakamatwa Dubai na Cocaine.
7 Reactions
64 Replies
4K Views
Mkwanja anaovuta Samatta kwa Wiki Domo anausotea Miezi 4-5, Huyu ndo inapaswa ajengewe Sanamu kwa kulitangaza Nchi Kimataifa na kuiongeze nchi kipato kwenye Sekta ya Utalii Eti Diamond ajengewe...
37 Reactions
182 Replies
43K Views
Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na comment ya Fatma Karume akijibu maneno ya mdau kuwa "Shangazi huna ndoa, tulia". Inaonekana Shangazi aliumizwa sana na matukio ya mume wake ndio...
25 Reactions
220 Replies
38K Views
vijana shtukeni kilimo kinalipa balaa, ebu ona dada yetu anavyopiga mamilioni kwnye kilimo huko Iringa. Nini maoni yako mkuu Hapa akiandaa shamba kwa ajili ya kupanda hapa akibadlishana mawazo na...
26 Reactions
138 Replies
26K Views
Kanye West na Bianca Censori Wakaribia Talaka Siku Chache Baada ya Grammys Kanye West na Bianca Censori wanakaribia kuachana, zikiwa ni siku kumi na moja tu tangu Censori aonekane karibu uchi...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Star muziki kutoka kenya Bien aliouwa vibaya kwenye tamasha la tracemusic award huko zanzibar. https://youtu.be/HNGUzeFNfNQ?si=LJRX1bjiWJqWwAlu
1 Reactions
5 Replies
635 Views
Hivi kati ya Diamond Platnumz na Samatta nani anaweza kuwa na pesa nyingi kumzidi mwenzie? Mimi naona Samatta, kuishi Ulaya zaidi ya miaka nane halafu kucheza Aston villa huku unalipwa milion Mia...
7 Reactions
30 Replies
6K Views
Samatta analipwa kwa Siku Milioni 21 Tsh Wiki: Milioni 153 Tsh Mwezi: Milioni 610 Tsh Mwaka: Bilioni 8 Tsh Sijui Diamond kipato chake, Ila ningependa kujua nani zaidi? Sent using Jamii Forums...
3 Reactions
44 Replies
46K Views
Msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda, ameibua hisia kali mitandaoni baada ya ku-share ujumbe wa kusikitisha kupitia ukurasa wake wa Instagram. Kupitia posti hiyo, Nuh alieleza machungu...
17 Reactions
168 Replies
8K Views
Ukiongelea kijana mwenye magari makali bongo wengi watakuambia Diamond ila wachache sana hawajui mondi hayupo hata kwenye top 100 ya vijana wakali wa town kwa mandinga makali. Huyu hapa ni...
15 Reactions
420 Replies
78K Views
Ile NDOA iliyosimamisha internet. Imevunjika rasmi. NB: Je atarudia FANTASY ya Zamani kama Shishi? Source: Wolper mwenyewe BCC: kataa ndoa
17 Reactions
295 Replies
18K Views
Back
Top Bottom