JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,091
- 4,716
Ukiongelea kijana mwenye magari makali bongo wengi watakuambia Diamond ila wachache sana hawajui mondi hayupo hata kwenye top 100 ya vijana wakali wa town kwa mandinga makali.
Huyu hapa ni kijana Marley dollars ukiacha jumba lake la maana ana miliki ndinga za maana sana mjini.
Huyu hapa ni kijana Marley dollars ukiacha jumba lake la maana ana miliki ndinga za maana sana mjini.