Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Andrew Tate ni kati ya watu wanatajwa sana kwa hivi sasa, bila shaka. Ikiwa hii ni mara yako ya kwanza kusikia kuhusu jamaa huyo, fuatilia hapa. Mtumiaji huyu wa mitandao ya kijamii aliye na...
12 Reactions
52 Replies
9K Views
Swali langu ni hilo wakuu, japo kwa upande wangu nilimkubali na nitaendelea kumkubali sana mzee Hassan Rehani Bitchuka. Wewe je unakubaliana na huyo huyo wa kwangu? Au Cosmos Chidumule? Au...
4 Reactions
49 Replies
2K Views
Wanazengo mnamtambua mrembo hapo pichani. Naona anatrend sana mitandaoni ikiewemo IG kiufupi anaonekana kuwa level moja na sanchoka kwenye maswala yalee. Inasemekana anatoka Iringa. Kwa mwenye...
6 Reactions
187 Replies
41K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika viwanja...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize, amemuomba msamaha Diamond Platnumz kwa tofauti zilizowahi kutokea kati yao. Kupitia Insta Story yake, Harmonize ameandika kuwa anatumia mwezi mtukufu wa Ramadhani...
12 Reactions
45 Replies
3K Views
Kwemaaaaaaaaa... Sauti ni kubwa japo nina swaumu Kwa wapenzi wa hip hop, upande wa freestyles nadhani wengi wenu jina la Cado Kitengo, Cado nondo, Mzee wa Midamu au Mzee wa AYEEEEEE... nadhani...
0 Reactions
5 Replies
623 Views
Kwa kifupi harmonize ana muonekano wa kishamba sana yani hata afanyeje hawezi kubadilika hata mambo anayoyafanya ni kishamba sana yani ni ya ajabu mpaka anajiaibisha kila kukicha. Hata akipiga...
8 Reactions
27 Replies
4K Views
Cheki mwenyewe akiongea mbele ya Rais Lazarus Chakwera https://www.facebook.com/share/v/1BFDLjgATo/ Kwa msiomfahamu Namadingo mchekini hapa kaimba na Mzee Chalamanda...
2 Reactions
2 Replies
616 Views
Kwa upande wangu skendo iliyonishangaza na kunichekesha ilitokea mwaka 2016. Wema sepetu na İdris Sultan walipofeki ujauzito ili kuwanyamazisha timu zari na timu diamond 😂 unaambiwa walinunua...
9 Reactions
37 Replies
2K Views
Mwigizaji nguli Gene Hackman na mkewe Betsy Arakawa wamepatikana wakiwa wamefariki dunia nyumbani kwao huko Santa Fe, New Mexico. Polisi wamesema kuwa hakuna dalili za uhalifu, lakini sababu...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna watu wanajiulizaga zile nguo za ajabu ajabu za wasanii katika majukwaa na safari za kimataifa wanazitoaga wapi au wanaiga wapi? Ukweli ni kwamba fani ya mitindo kidunia ni kati ya fani...
12 Reactions
99 Replies
6K Views
Tangu kumeibuka wimbi la wachekeshaji kibiashara nchini sijawahi kusikia comedian Mzanzibar aliye maarufu. Huko Zanzibar wao hawafanyi comedy au wapo ila hawajawa maarufu tu?!
7 Reactions
51 Replies
2K Views
ONYO kama huu Usimba na Uyanga tumeanza Kuuingiza na katika Mambo mengine tusije Kulaumiana hiyo Oktoba Oky?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, Kama mnavyojua usiku wa leo ndio zinafanyika hizo tuzo za Trace huko Zanzibar. Wakati napitia pitia nominations nimekutana na majina ya wasanii 2 ambao hawakustahili kabisa kuwepo kwenye...
13 Reactions
36 Replies
2K Views
Wakuu, Hawa ndio washindi wa tuzo za Trace Awards zilizofanyika jana huko Zanzibar. Kutoka Tanzania ni wasanii wawili tu ndio wamepata tuzo. Diamond Platnumz ameondoka na kipengele cha Best...
5 Reactions
28 Replies
6K Views
Mimi huwa niko na kawaida ya kutengeneza playlist tofauti tofauti na kuzisikiliza wakati naendelea na kazi zangu (huwa napata utulivu wa kubaki kwenye jambo moja kwa wakati huo, kwasababu kichwa...
20 Reactions
157 Replies
6K Views
Yuko wapi Lulu Ibrahim, Miss Kinondoni 2009 na aligombea Miss Tanzania 2009?
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, mwigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga. Mwanadada huyo na Kigogo wapo katika penzi la...
69 Reactions
562 Replies
35K Views
Amesikika katika Mtandao mmoja akilalamika sana hivyo ninaomba mnaokumbatiwa na mnaokumbatia mtueleweshe.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Anaitwa Kylian Mbappé Lottin, alizaliwa tarehe 20 Desemba 1998 huko Paris, Ufaransa. Yeye ni mchezaji wa soka wa Kifaransa anayecheza kama mshambuliaji katika klabu ya Ligue 1, Paris Saint-Germain...
8 Reactions
17 Replies
4K Views
Back
Top Bottom