Samatta na Diamond nani zaidi kwa kipato

Muulize mtoa mada yeye kwa mwezi anaingiza kiasi gani? Sio kushabikia hela za wanaume na ukute jamaa anafamilia kabisa inamtegemea


Sent from my iPhone using JamiiForums
hahahaha

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
Bada ya makato kwa mwaka angalau atakuwa na si chini ya 3bil. Nadhan atakua anamzidi diamond kwasbab kwa takwimu za vijiwe vya kashata huku diamon na hizo 8bil ambazo amezikusanya ktk maish yake yote ya muziki mpaka sasa
 
50,000 na si 35,000
Mkuu walau naweza kuja na hizi takwimu japokuwa si za uhakika ila zinatoa mwanga, mishahara ya wenzetu haifichwi.

AS.JPG
villa.JPG
 
Back
Top Bottom