Mjue Midas the Jagaban: Msanii atakaekuja kukimbiza Afrika

Citizen B

JF-Expert Member
May 13, 2019
6,677
9,035
Wakuu kuna muda nilishawahi kujinasibisha kama Nabii. Sasa leo nawaletea huyu msanii wa mwaka huu anaitwa Midas the Jagaban
Natabiri kwa mwakani atakuwa kwenye conversation moja na kina Rema na Fireboy DML

*Ni mnigeria aliyekulia na anaishi London
*Hamna anayejua sura yake anavaaga mask
*Ni mwanamke

Ana nyimbo mbili tu, moja ilitoka mwez wa sita (come we bill ehh). Nyingine ilitoka mwezi wa 10(Party with a Jagaban) lakini zinakimbiza sana Afrika na zote zitakutaka ufanye legwork/poco dance

Kina Fireboy DML na Rema wamepata mshindani
Cha ajabu hata hayuko Afrika
Wabongo tunakwama wapi?

Jagaban ni neno la kihausa/kiigbo lenye maana ya kiongozi au bwana wa vita kiongozi wa maaskari.
 
Heading inasema nimjue msanii....
Sasa namjuaje mtu ambaye hata sura yake haijuilikani anavaa mask?
Ye aendelee kujijua mwenyewe tu
 
Wakuu kuna muda nilishawahi kujinasibisha kama Nabii. Sasa leo nawaletea huyu msanii wa mwaka huu anaitwa Midas the Jagaban
Natabiri kwa mwakani atakuwa kwenye conversation moja na kina Rema na Fireboy DML

*Ni mnigeria aliyekulia na anaishi London
*Hamna anayejua sura yake anavaaga mask
*Ni mwanamke

Ana nyimbo mbili tu, moja ilitoka mwez wa sita (come we bill ehh). Nyingine ilitoka mwezi wa 10(Party with a Jagaban) lakini zinakimbiza sana Afrika na zote zitakutaka ufanye legwork/poco dance

Kina Fireboy DML na Rema wamepata mshindani
Cha ajabu hata hayuko Afrika
Wabongo tunakwama wapi?

Jagaban ni neno la kihausa/kiigbo lenye maana ya kiongozi au bwana wa vita kiongozi wa maaskari.

Nilizani labda Mbongo.
 
Back
Top Bottom