Nicole Berry, mwanadada anayepiga mamilioni kwenye kilimo cha vitunguu Iringa

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,428
vijana shtukeni kilimo kinalipa balaa, ebu ona dada yetu anavyopiga mamilioni kwnye kilimo huko Iringa. Nini maoni yako mkuu
Hapa akiandaa shamba kwa ajili ya kupanda
IMG_20200409_103903_849.JPG
6040c22d-5a66-4cc5-9712-8977880126c4.jpg

hapa akibadlishana mawazo na wafugaji wenzake wenye asili ya kimasai njia mpya za ufugaji
913b7322-c110-4a9d-96b4-db4df55183b4.jpg

hapa chini akipumzika kidogo kabla ya kuendelea na safari kuelekea shambani
c32ee117-79cf-45f0-b855-13adeb7441dc.jpg

akiwa amepumzikaa nyumbani baada ya mihangaiko ya siku nzima shambani
4b746d43-9d56-43ce-b841-18ed61748eec.jpg
8f8be359-6ee2-4b98-935e-9c310ba55445.jpg
55839bae-4826-40ed-891c-a4886835317e.jpg

hapa akishiriki video ya mbongo fleva Harmonize,anadai hakutaka kabisa kushiriki video hii sababu ya maadili na hasa ikizingatiwa kuwa hajazoea kuacha mwili wake wazi.
075b0e61-98b7-42a3-84a2-814ae73a004c.jpg
 
Sijui tako kaliokotea wapi,eti mkulima anashika jembe utafikiri vidole vinafangasi.

Huyo akikaribia miaka 40 tako linaporomoka,amuulize mwenzake Vanity Wonder tako lake kila siku linadondoka.

Na sasa hivi safari za nje hazipo,zile picha za ig kwenye mahoteli makubwa hamna na walivyokuwa hawana akili ya kutunza na kuwekeza hela baada ya miezi kazaa wataanza kulia njaa.

Yaani hamna ratio kati ya kalio na miguu,mwisho wa siku shepu imekuwa kama rungu la mmasai.
 
Back
Top Bottom