Mshahara wa Samatta kwa wiki ni sawa na show 10 za msanii wenu Diamond

Robidinyo

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
3,734
7,672
Mkwanja anaovuta Samatta kwa Wiki Domo anausotea Miezi 4-5, Huyu ndo inapaswa ajengewe Sanamu kwa kulitangaza Nchi Kimataifa na kuiongeze nchi kipato kwenye Sekta ya Utalii

Eti Diamond ajengewe Sanamu kwa lipi haswa aliolifanya? Labda akajengewe huko Kwao kigoma..

90% ya Vishabiki vya WCB ni Vi slay queen na Visharobaro uchwara,.
 
Daah yaani ww utakua ni mchawi bado vitendea kazi aisee ,
Acha chuki mkuu, pambana kivyako tu utatoka mkuu.

Pia acha kua na roho ya kimasikini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom