WCB Battle: Ray vanny, Rich mavoko, Harmonise nani mkali zaidi?

Te Lavista

JF-Expert Member
Mar 12, 2017
1,626
2,846
Hello fans.. Hello Jf members
Jamani ninataka mchague wenyewe kati ya hawa wasaani wasanii 3 kutoka WCB nani mkali...
Kwa kuzingatia vigezo hivi
>> Utungaji wa mashairi mazuri
>> Sauti
>> Muonekano
Vigezo vingine mwaweza kuongeza..
  1. Ray Vanny
  2. Rich mavoko
  3. Harmonise
 
Oyaa toa jina la Rich tafadhali. Hao watoto wamejulikana kupitia Diamond.. Ila Rich tunamjua way back.. Futa hilo jina muweke yule jamaa yao mwengine Aliyeoza meno anaitwa Q Boy sijui
Bwana weeee mbona wanivunja mbavu jioni hii
 
Rich mavoko ni mkongwe ila hana heat Kali kama za hermonize bado na aiyola +niambie na matatizo pia ana nyimbo nyingi ila hana wimbo wa kuizid kwetu ya Raymond hivo kwa upande wangu hermonize bado anaendelea kuwa juu na anawameza sana wenzake kwa sauti na mashairi yake matamu
 
Oyaa toa jina la Rich tafadhali. Hao watoto wamejulikana kupitia Diamond.. Ila Rich tunamjua way back.. Futa hilo jina muweke yule jamaa yao mwengine aliyeoza meno anaitwa Q Boy sijui
Hahahaha!!umeongea kwa hisia kweli!!!Tehtehteh
 
Back
Top Bottom