Sielewi Eneka haitrend You tube ila kisela no 1 japo ina viewer kidogo

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
843
1,363
Kisela imewahi kutoka na ina trend no 1 You tube, Eneka ina viewers wengi ila haipo top 10 katika trend, je ni kwamba viewers wa Eneka ni wa kupika, kila nikiiingia You tube number 1 ila viewers wake wanaongezeka kidogo ila Eneka viewers wanakwenda kwa kasi, sa si ilitakiwa Eneka ndo itrend.

Nataka mnieleweshe wana JF mnipe somo nielewe.
 
sasa ulisha iangalia eneka na kila ukienda kufanya comparison unaitazama tena

huku ukiiongezea viewers afu unashangaa tena? kwa mfano mimi hiyo uliyo taja hapo sijui kisela siijui na sijaitazama. ila eneka nimesha icheki zaidi ya maramoja kupitia devices tofauti tofauti
 
Youtube wana vigezo vingi vya ku determine kama video ina trend au la, views nyingi pekee hazitoshi ku determine hilo
 
4ca25a6d23123803bde7ffd85f2cfe3b.jpg
 
Kisela ina trend kwa TZ tu, but eneka mpaka Nigeria kwa siku hizi nne za karibuni imekaa ndani ya tatu bora bado na huko Kenya, Uganda na Rwanda kote ilishika namba moja na ndio maana eneka ina viewers wengi kuliko kisela kwa sababu inawatazamaji wengi kutoka nje ya Tanzania ila kisela inawatazamaji wengi ndani ya Tanzania kuliko nje ya TZ na ndio maana imeshika namba moja kwa kutrend TZ.
 
sasa ulisha iangalia eneka na kila ukienda kufanya comparison unaitazama tena

huku ukiiongezea viewers afu unashangaa tena? kwa mfano mimi hiyo uliyo taja hapo sijui kisela siijui na sijaitazama. ila eneka nimesha icheki zaidi ya maramoja kupitia devices tofauti tofauti
ukiangalia mara moja kwenye browser moja au youtube app inahesabu moja hata urudie mata elfu haiongez
 
sasa ulisha iangalia eneka na kila ukienda kufanya comparison unaitazama tena

huku ukiiongezea viewers afu unashangaa tena? kwa mfano mimi hiyo uliyo taja hapo sijui kisela siijui na sijaitazama. ila eneka nimesha icheki zaidi ya maramoja kupitia devices tofauti tofauti
Kisela ndo nyimbo ya nani mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom