Diamond Platnumz achaguliwa kwenye tuzo za Neaawards2017 za Naijeria.

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
825
55e310703345ce419e70a1c179355ad3.jpg

Tuzo kubwa nchini Nigeria(Neaawards) wamemtaja diamond platinumz katika kipengere cha msanii bora wa afrika nje ya Nigeria. Upigaji kura utaanza hivi punde tuanze makamuzi#Neaawards.

Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
 
Aya wabongo team tuweke pembeni tumpigie huyo muha kura za kutosha. Hongera Nasib.
 
Itakua keshawanunua waandaaji, so kinachofuata ni kiini macho tu

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Congrants brooo.

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
 
Team kibakuri amkosagi sababu na roho zenu za kwa nini

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Hahahahaaa, ngoja waje wenyewe, mimi sipo kwenye hizo timu ila nimejaribu kuuvaa uhusika wao wakat wao wapo mbioni kuja

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom