Tathimini: Kiongozi wa Kampeni za "Magufuli Baki" Atalazimika Kupewa ulinzi mkali

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
kutokana na na kwamba tayari amesharipoti katika mamlaka husika juu ya kutishiwa usalama wake hata kabla kampeni zake hazijaanza, ni dhahiri sasa mtu huyu atalazimika kupewa ulinzi mkali katika kampeni zake za kuzunguka nchi nzima akieneza kampeni ya MAGUFULI BAKI. Je gharama za ulinzi zitatolewa na yeye mwwnyewe au atalazimika kupewa support na chama au serikali?
 
Aiseee! Ila mi napenda ajue kuwa "Umasikini na Ujinga ni kama jaza ujazwe,ukijaza kimoja unajazwa kingine".
 
Badala ya kupewa ulinzi akamatwe na kushitakiwa kwa uchochezi! matakwa ya Katiba ni lazima yaheshimiwe na kila raia. Ukomo ni vipindi viwili vya miaka mitano mitano period.
 
Huyu jamaa anastahiri kupigwa gobole, awahi kwenye kiti cha hukumu.
Siasa zikezuiliwa hadi 2020, hata hilo yakulisikia???!!!!
Katiba imezuia Rais kutawala zaidi ya awamu mbili, hata yenyewe hajaisoma?!!! Na bado anataka azunguke nchini akiwa na huo ujinga ulokubuhu?
"We" must protest his foolishness

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa bahati yake mbaya leo JPM akiongea kule Korogwe katamka bayana kwamba hayuko tayari kukaa madarakani kwa miaka 20; kasisitiza ataheshimu katiba kwa hiyo hao mapoyoyo wote wa kampeni ya "Magufuli Abaki" wameangukia makalio bwaaa!
 
Back
Top Bottom