TANZIA: Baba wa marehemu Amina Chifupa, Mzee Chifupa Afariki dunia

Hakika mapenzi ya Mungu yametimia...Mungu Mwenyezi ampumzishe mahala pema.
 
Waandishi wa habari walipotaka kumhoji mwanawe kuhusu wahusika wa madawa ya kulevya aliwazuia wasimhoji kwa maslahi ya chama, Amina alipokufa akataka kusema yeye alichotaka kusema Amina! Hakuna mwanadamu aliyekamilika. Yake mbele yetu nyuma!

RIP!
 
Duuuh huyu mzee nimekutana nae wiki 2 zilizopita duka la spea hapo sayansi na gari limeandikwa amina chifupa foundation,mzee muongeaji sana kafika dukani kahudumiwa yeye kwanza then sisi
 
Back
Top Bottom