Mwanamke Gharama by dogo diamond platinum.

KING DUBU

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
919
1,239
Wimbo murua Sema Msitari unaosema Hata uwe na Mashine Kama Punda ni bora zaidi.
 
Acha wenye mashine waringie mashine zao,na nyie wazee wa gharama tambeni na pesa zenu...
 
Sijawahi kuchukua demu kutumia pesa na always niko na watoto wakali.
 
watakuwa wanakugongea kila siku wenye pesa zao


Man you don't know what you're talking about. Kama demu wako analala na a Clown for money basi huyo ni Changudoa, bwaga haraka sana asikuletee mikosi. Kitu kingine hao wenye pesa mara nyingi ndio wanachapiwa
 
Back
Top Bottom