Baada ya sakata la kusema amefanya collabo na Tupac na kuleta mtafaruku mkubwa kwa mashabiki huku wakimtolea maneno makali wakisema amesha athirika kiakili kwa madawa ya kulevya kwa kuwa Tupac ni...
Jambo!!
Kama habari inavyoeleza hapo juu. Naangalia kipindi cha shilawadu cha hawa vijana wawili live clouds tv. . .
Kabla hawajaanza zimepigwa nyimbo mfululizo wasanii mbali mbali, cha...
Wakuu, hasa wale waliokua wapenzi wa movie za action miaka ya 90's, mwanye kumbukumbu walipo hawa mastaa wa movie toka hollywood, atujuze.
Walikua maarufu sana miaka ya 90's wakitamba na movies...
Rapa Chid Benz ambaye kwa sasa amekuwa gumzo katika kila kona ya mitandao ya kijamii baada ya yeye kusema ana kolabo na 2pac, amefunguka kwa kumtolea povu Madee na kumwambia yeye ni mmbea ndiyo...
Jana nilipata muda nikiwa nimepumzika nikacheki chapter 22 za ile nyimbo yenye series za chapter inayoitwa HIDDING IN CLOSET. Aisee ule ubunifu sijawahi kuona, yaani ni uimbaji kwa njia ya...
Ni majuzi tu patoranking kaachia kolabo yake aliyofanya na diamond platnumz a.k.a simba...wakati huo huo nakuletea kolabo ingine aliyofanya patoranking na Ally Kiba, sasa nataka tuwe wazalendo...
Kwa mujibu wa mtandao wa Africa Youth Awards, hii ndiyo listi ya vijana wa Kiafrika wenye ushawishi zaidi barani Afrika na duniani: Tanzania inawakilishwa vyema na vijana 7 (sijui kama kuna...
Mie ni mfuatiliaji wa bongo videos muda mrefu. Nimetazama video za Kiba tangu Sindelela mpaka Seduce me!
The man knows how to sing na ana sauti nzuri ya kuvutia ila kwa upande wa muonekano na...
Kupitia kwenye kipindi chake cha DIARY YA LADY JAY DEE, judith wambura mbibo(lady jaydee) miezi michache iliyopita aliwahi kusikika akisema "Am no longer binti machozi(mimi sio tena binti...
Msanii wetu pendwa Esterlina Peter Sanga almaarufu officiallinah amejifungua mtoto wa kike
Hongera sana Linah
Linah na baba mtoto wake
Beautiful Tracey wa linah
Seduce yavunja record duniani na Africa kwenye iTunes
Mwana yaibuka kwenye kumi bora duniani
Seduce me yawa number one duniani na pekee Africa King Kiba akifunika Africa nzima
Wadau Kwema??
Kwa sasa Ally Kiba anatingisha na wimbo wake alioutoa hivi karibuni wa Seduce Me. Wimbo huo kwa sasa ni 'hit Song" kiasi kwamba popote unapopigwa basi watu wengi huonekana...
Mh Sugu..Joseph Mbilinyi Katika wimbo wa Galagasha anasema mwaka 2030 anagombea Urais na Kushinda... Anadai ' Am joking.....no no am serious'
Kila la heri kwa ndoto yake hiyo inaweza kutimia!
Kwa kweli huyu dada ataniua mie jamani.
Mbona ananichanganya sana huyu m-ghana!!!??
Haya majicho kaa unaweza ukayala.
I love you Jack Appiah wherever you are.
Siweki hata picha wivu
Sent using...
Yaani Huyu jamaa alishazoea kuishi kwa kiki so haishiwi vituko. Sasa Yale maandalizi yalikuwa ya nini mbona kama hiyo Arusi haijafanyika? ndio maana kuwa shabiki wake tu inabidi uwe na akili ya matope
Katika mazingira ya kawaidaa kama kichwa kinavyojieleza hapo juu kuwa king of all social media network ni kwamba ww upo katika mitandao kadhaa na unahusika kuwa active. Kutokana na uking wako hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.