Kalapina ''nabii koko'' na maneno yake mmh!

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
7,492
7,515
huwa nasikiliza nyimbo za huyu jamaa, kuna ule wa umoja ni nguvu humo ndani anasema ''siwezi kula nguruwe, siwezi kuabudu sanamu...''. wimbo wake mwingine mpya wa hivi karibuni anasema ''wanaabudu msalaba...'' .inafahamika yeye ni Muislamu sasa sijui maneno haya kwa nini anayapenda sana?
 
Kalapina bonge la mdini,naona siku izi ameamua kujiweka wazi.eti sasa ivi anafanya harakati za kupambana na ukatoliki!
Msikilize tungo zake kwenye ngoma yake mpya "vatican ndio wanaotuchagulia viongozi"..kuna mstari mwingine anasema "sili nguruwe wala siabudu sanamu" sikiliza kwa makini 'mstari wa mbele' na 'umoja ni nguvu' utanisoma..
Ana misimamo ya kitoto sana ndio maana anaongoza kundi ambalo halipo'kikosi cha mizinga' kwenye kundi kabaki ye na mkewe tu Mau,machizi wote wamemkimbia hadi mwanae Msemakweri...
 
Hana jipya,Kikosi kilikuwa hai kipindi cha Hashimu Dogo sio sasa,Kalapina ni msanii mwenye njaa ndio maana amekubali kuwasujudia clouds fm ili apate show na kuendelea kusikika na watu.Kikosi cha mizinga kimebakiza jina tu Pina na Nasibu wanaendesha kundi kibabiloni ndio maana watu wengi wameondoka kikosi.
 
Tatizo la wasanii wengi wanaojiita wan hiphop wanajiona kila kitu wnajua. Huyu jamaa hana kitu.
 
Hana jipya,Kikosi kilikuwa hai kipindi cha Hashimu Dogo sio sasa,Kalapina ni msanii mwenye njaa ndio maana amekubali kuwasujudia clouds fm ili apate show na kuendelea kusikika na watu.Kikosi cha mizinga kimebakiza jina tu Pina na Nasibu wanaendesha kundi kibabiloni ndio maana watu wengi wameondoka kikosi.

Hashimu aliukimbia ule upuuzi wa Pina kupiga mashabiki .
 
Kalapina acha upuuzi,nilikuwa nakukubali kabla lkn tungo zako zinachefua. Mwone Umbwa akufundishe Hip Hop
 
huwa nasikiliza nyimbo za huyu jamaa, kuna ule wa umoja ni nguvu humo ndani anasema ''siwezi kula nguruwe, siwezi kuabudu sanamu...''. wimbo wake mwingine mpya wa hivi karibuni anasema ''wanaabudu msalaba...'' .inafahamika yeye ni Muislamu sasa sijui maneno haya kwa nini anayapenda sana?

Hakuna mstari wa wimbo mpya hapo. Umekuja kuleta chokochoko tu.
 
Kalama ni mdini kupindukia mimi huwa nashangaaa anavyojiita Kikosi wakati alisha hama kikosi, kikosi kimemtenga kwa sababu ya mamboyake ya kujifanya mgomvi wakati alikuwa anawategemea kikosi wamsaidie aanzishe ugomvi. Toka kikosi asili wamtose sijawahi sikia kaanzisha vurugu, hata Nakoz walikuja mpa kichapo Block 41 KITU AMBACHO kisingewezekana kama angekuwa na kikosi asilia.
Jamaa ni CUF asiyekuwa na akili, Hashim na Mzoba walimtosa (hawa ndio walikuwa viongozi wake na waislam wa kweli wakiishi uislam na kuongea uislam kamwe si wagomvi ila ukiwachokoza hesabu umeumia) Hashim Dogo mwendawazimu rudi kwenye gemu heshima irudi vijana wanatukana kambi
 
"Wameshindwa watu labda wawatume mashetani leo hii nakunya na kisha mtazoa hamuwezi kukaa na mavi nawasha kama chavi chavi"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom