Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Leo katika pita pita yangu huko instagram nimeona msanii maarufu Duniani Rick Ross amempost Diamond na Kuandika maneno fulani! inaonekana Diamond kuna Deal kala la kutangaza kinywaji fulani hivi...
2 Reactions
54 Replies
10K Views
Kuna jamaa mmoja alikuwa anatangaza pale clouds FM kwenye kipindi cha the request show jumapili na kuna siku alipewa kuendesha kipindi cha xxl badala ya fetty, dozen na Adam walipokuwa...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Tumebishana sana leo kitaa hebu nisaidieni wanakijiji juu ya hawa mastaa nani mkali? Diamond na 20%
0 Reactions
56 Replies
10K Views
Nmekua nikisikia kua et diamond na bobjunior mkali diamond wana jf mnasemaje kuhusu hili nsaidieni jaman.
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Inakuwaje staa kama Lulu anakubali kuweka ramani ya jasho kwenye kikwapa? Inamaana hajui matumizi ya deodorant wajuzi wamsaidie?
1 Reactions
68 Replies
61K Views
Kwa staili hii ali kiba akikaza Anaweza kumpoteza diamond mapema sana jamaa anaweza tuache utani.......cheki hapa
2 Reactions
48 Replies
7K Views
Aman iwe nanyi wapendwa Kwasisi tunaofuatilia midundo ya mziki huwa tuna dil sana na watayalishaji wa hizo midundo, kwa maono yangu ninavyoona kuna anguko kubwa sana la jamaa yangu t...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Shabiki maarufu instagram wa alikiba na anaejiita kiongozi wa team kiba hatimae amekamatwa na jeshi la polisi kwa kutukana na kukashifu watu mbali mbali mtandaoni, kijana huyo amekuwa akiandika...
12 Reactions
403 Replies
45K Views
:):)
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Waandaaji wa Fiesta, Kampuni ya Clouds Media Group wamesema hakuna mtu aliyezuiwa kuingia katika tamasha hilo. Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds, Ruge Mutahaba amesema wao wanafanya...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Watu wanaojulikana kutoka kampuni ya Tigo usiku wa jana wamkataza mwana FA kuingia katika shoo ya Tigo fiesta kama mtazamaji wa kawaida sababu anaidai kampuni hiyo bil 2.5. Wataalam wa sheria hii...
4 Reactions
37 Replies
8K Views
jamani nimeanza kusikiliza hits za ali kiba mwaka 2002 nikiwa darasa la nne na mr blue mpakaleo hii nina MSC and family either these guy deserve their kingdom hakuna msaa ambaye ame maintain kama...
9 Reactions
61 Replies
16K Views
DIVA"KABLA YA KUWA NA GK NILIKUWA NA DATE NA MWANASIASA" Diva alikuwa akihojiwa na mtandao wa Makorokocho. Swali : Je ni kweli Unatoka na GK? Diva : ofcoz doe …. Gk is my Angel, My...
1 Reactions
259 Replies
71K Views
MAKOSA,UZEMBE NA KUTAPELIWA KWA WASANII WA ARUSHA Mabadiliko makubwa ya sanaa ya filamu na maigizo kwa mkoa wa Arusha yalianza kuonekana wazi kipindi ambacho bwana Chriss Siriwa alipoingia katika...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
huwa nasikiliza nyimbo za huyu jamaa, kuna ule wa umoja ni nguvu humo ndani anasema ''siwezi kula nguruwe, siwezi kuabudu sanamu...''. wimbo wake mwingine mpya wa hivi karibuni anasema ''wanaabudu...
1 Reactions
65 Replies
13K Views
Mwanadada Lulu Michael ambaye pia ni staa katika Bongo Movies ni mwanamke anayependa kupiga picha mara kwa mara huku akionyesha style mpya ya nguo zake ama mtindo mpya wa nywele zake. Staa huyu...
0 Reactions
40 Replies
20K Views
Nimewakumbuka sana wasanii waliotingisha muziki wa kizazi kipya miaka ya 90's Kwanza Unit (Adili -Nigger One R.I.P, D-Rob Zomba R.I.P, Kibacha -K single, Y Thang, Fresh G, Chief Ramson - Zavara)...
0 Reactions
47 Replies
13K Views
Sijasikia anaongea chochote wala kusikia yuko wap .jaman nijuzeni huyu mzee yuko wap??? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Yule dada ambaye huwa haishiwi vijimamboz mpenda dogo dogo anayekwenda kwa jina la Wolper anameenda kwao na 'ben ten' wake na kwenda kutoa mahari ili aweza...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom