Ujumbe wa wazi kwa Lemutuz ni hiari yako umeze au uteme

Status
Not open for further replies.

Ray waniache

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
737
507
Kwako Lemutuz
Unajiita sijui mzee wa mbebez, sijui le mbebez haya majina kiukweli hayaendani na wewe. Umri ulokua nao sio umri wa kuchanua na kula bata na vitoto vidogo ni umri wa kukaa nyumbani na kulea wajukuu

Kwa umri wako woteee kweli hivi unaishi maisha ya kulala hotelini?
Ni aibu gani hii jamani? Kwanini usiuze gari ujenge hata kajumba kaa room moja?
Huoni umri umekata ringi? Ni ushauri tu huo ndugu yangu lemutuz. Hizo sio zama zako za kukaa instagram kushindana na watoto kama kina mange la! huko ni kujitafutia matatizo bure

Hizi ni zama zako za kukaa na family yako kulea wajukuu.na watoto,,,,,over, hakuna kingine. Hivi lemutuz huna marafiki?Kama unao kwanini hawakushauri vizuri?
Kwanini unaiaibisha family yenu?

Hizo pesa za bata zikisha na kununua petrol ya gari utakua mgeni wa nani?
Kwanini hvi lakini? Jifunze kubadilika mange c type yako vitoto vya insta sio saizi yako ulipaswa ukae chini ulee familia na wajukuu maisha unayoishi sio level yako unayoyafanya sasa hivi ulipaswa kufanya ujanani sio sasa hivi

NI USHAURI TU
OVER,,,,,,,,,,,,,,
 
Mtesema sana. bata batani tu.
Wadau-wa-kipindi-cha-Harusi-Jacky-Mzindakaya-William-Malecela-na-friend-wakipozi.jpg
 
Lipo tatizo la kisaikolojia ambapo mtu hugoma kuukubali umri alionao na kulazimisha kubehave tofauti na umri wake, so asaidiwe si kubezwa maana wapo wengi mtaani hatuwaoni sababu hawana pesa tu. Unakuta jidingi umri wa mkongojo kabisa unamuamkia shkamoo mzee anarespond "poa mambo vipi?".
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom