Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Je, kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii wasanii na watu wengine maarufu wanatoa kauli gani kuhusu Mh Tundu Lissu kushambuliwa na risasi jana? Uzi huu umeanzishwa specially kwa ajili ya...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Rapa Farid Kubanda 'Fid Q' ameibuka na kuwachana baadhi ya wakina dada wenye tabia ya kuwategeshea wanaume zao ili wapate watoto kwa kuwaambia hicho wanachokifanya hakina utofauti na unyanyasaji...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana Ile show kubwa kuliko inayojulikana kama tigo fiesta mbion kuanza kuwashwa mara baada ya miaka miwili iliyopita kutofanyika Kwa mara ya kwanza kwa...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Jux - utaniua (manekee kaua sana sana maana nyimbo za namna hii yeye ndo mchawi wake) Bright - Ni wewe (huyu dogo nilikuwa na mu under estimate ila kwa hii ngoma kwakweli nimekubari ni mkali sana...
3 Reactions
94 Replies
18K Views
Nyota wa filamu za Hollyhood, Angelina Jolie, amekuwa na wakati mgumu tangu alipoachana na mpenzi wake Brad Pitt mwaka jana. Aliambia Gazeti la Telegraph: ''Nimekuwa na wakati mgumu. Sifurahi kuwa...
1 Reactions
67 Replies
12K Views
Ndugu wana JF, Kwanza niwatakie heri ya mwaka mpya, natumaini kwamba mnaendelea vema wadau wangu wa ukweli. Leo nitajikita zaidi kuwaongelea wasanii wa muziki wa kizazi kipya katika ukanda wa...
3 Reactions
98 Replies
19K Views
Leo asubuhi kwenye kipindi cha Clouds 360 ,nilishuhudia kina Ngoma na wenzake wakimsifia Ali Kiba eti katoa wimbo mzuri ukifanya nchi ya Tanzania na Afrika mashariki yote izizime kwa ajili ya...
8 Reactions
191 Replies
22K Views
Nakumbuka Kelele za Mashabiki zilikuwa nying sana kwanin Ally hajatoa nyimbo kwa takribani mwaka mzima toka alipotoka na ule mwimbo wa Aje akatoa na Remix ambayo haikuwa nzur sana kuliko ile ya...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi maarufu kama ‘Sugu’ alianza kuijenga hoteli yake toka mwaka 2016 jijini Mbeya na aliweka wazi kabisa kwamba alipata mkopo wa kuijenga kutoka CRDB BANK...
27 Reactions
87 Replies
29K Views
Habari wakuu, Kwa wale wadau wa burudani ya muziki watakuwa washawahi kumuona au kumsikia kijana anayeitwa Karim Seleman ama kwa jina la usanii CHIBA aliyekuwa akifanya shughuli zake za...
9 Reactions
25 Replies
9K Views
Msanii wa kimataifa ambaye pia ni mmiliki wa lebo ya WCB Diamond Platnumz hatimaye uchawi unaotumika kumshusha na kummaliza kabisa kisanii wagundulika. Katika utafiti nilioufanya kwa miezi kadhaa...
11 Reactions
92 Replies
17K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habar hapo juu Mkali anaye sumbua kunako game ya mziki na ngoma kali inayo kwenda kwa jina la sina jambo amekana vikal tuhuma za...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Huyu mzee pembeni ya Diamond ni nani? Ndo manager wa Diamond? Hivi karibuni nimekuwa nikimuonaona akiwa karibu na Diamond, hata kwenye picha za nyumbani kwa Diamond Madale huyu mzee amekuwa...
0 Reactions
157 Replies
27K Views
Baada ya Diamond kuubana wimbo wake wa Zilipendwa kusubiri Ally Kiba atoe kibao chake cha Seduce me ndiyo autoe wimbo wake ili kuufunika wimbo wa Kiba, Kinachoendelea sasa ni kwamba jaribio...
14 Reactions
69 Replies
10K Views
Mambo zenu wadau, Ningependa kujua yule mwanadada machachari kabisa aliyetamba na kibao chake cha "Na yule" amepotelea wapi maana naona hasikiki kabisa siku hizi toka alivyotangaza kutoka...
5 Reactions
59 Replies
12K Views
Uchaguzi mdogo uko Kenya ulifanyika kati ya nyimbo mbili zinazobamba hapa bongo za vigogo wa muziki. Asilimia tatu(3) kama uonavyo matokeo jinsi ulivyokawa,wanasema hawafungamani na pande zozote...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Watu wamekuwa wakimdharau huyu jamaa je amekua? Japo anasifika kwa kumwaga mipesa kwenye burudani je amekua? ni biashara au nani yupo nyuma yake? Umiliki 1. Toyota prado(new model) 2. Toyota Rav...
3 Reactions
174 Replies
34K Views
Msanii mwanamama Saida Karoli amerudi kwenye game vizuri baada ya kuachia wimbo wa Orugambo, sasa amekuja na wimbo mpya aliowashirikisha vijana wa bongo fleva. Pamoja na yote Saida hajasahau aina...
5 Reactions
21 Replies
9K Views
EXCLUSIVE: Msaani Ali Kiba anatumbuiza leo usiku katika sherehe maalum iliyoandaliwa na Umoja wa Vyama vya Upinzani (NASA) kwa ajili ya kuwashukuru wapiga kura wao. Habari hii imethibitishwa na...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Baada ya sakata la kusema amefanya collabo na Tupac na kuleta mtafaruku mkubwa kwa mashabiki huku wakimtolea maneno makali wakisema amesha athirika kiakili kwa madawa ya kulevya kwa kuwa Tupac ni...
1 Reactions
34 Replies
9K Views
Back
Top Bottom