Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Habar zenu wanajamvi Kutokana na kile alichopost ndg angu edo kumwembe naomba nichangie kwa kutoa maoni yangu kama ifuatavyo Vijana wa kibongo sasa umefika wakat wa kubadilika ani unakuta...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
juzi kati Celeb wakiganda muke ya diamond platnumz msaniii mkubwa Tanzania baada ya kuelewa aliamua kwenda kwao, huko alifanya mambo mengi na alionekana mwenye furaha muda wote mpaka pale...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Bingwa wa tennis kwa upande bi Serena Williams amejifungua mtoto wa kike katika hospitali moja ya mjini Florida Marekani. Japo mwenyewe na jamaa zake hawajatoa tangazo rasmi tayari kuna ujumbe wa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Jack Ma is the founder and executive chairman of Alibaba Group which is of Net Worth US$ 23.4 Billion. Ma’s life has actually been riddled with failure. Jack Ma's Chinese name is Ma Yun. He...
7 Reactions
21 Replies
7K Views
TANGAZO Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tanzania ya viwanda haiwezekani kabisa hata kwa enzi za magufuri. Udikteta haujengi nchi. Wananchi wanafocus vitu vya kiwaki kuliko maendeleo. Yaani asbuhi kila MTU instagram kufwatilia Mange...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna nyimbo ya msanii mmoja wa kusini inaitwa UJE, sasa msanii mmoja wa WBC kaiiba melody yote na yeye kaiita mbeleko! Sio fair!
0 Reactions
8 Replies
3K Views
hello guys nikimwangaliaga mke wa roma, i have that gut feeling kuwa anampenda sana mumewe though i dont know her personally, lkn kwa kumwangalia tu nimem-judge hivyo, lyk anamsapoti sana mumewe...
11 Reactions
65 Replies
17K Views
Akihojiwa na EATV msanii mkongwe aling'ara kwenye maigizo ya Kaole 'BLANDINA CHAGULA' maarufu kama Johari ameeleza kuwa, anatafuta mume ambaye ana malengo na ambaye yupo tayari kumwoa. Msanii...
11 Reactions
158 Replies
26K Views
Leo ni arobaini ya marehemu mama Zari huko Uganda, badala Zari apande ndege akamfanyie kisomo mama yake kaenda Madale kufanya shooting ya muziki wa Diamond. Kweli Zari kakosa hela ya kumfanyia...
19 Reactions
171 Replies
20K Views
Jamani hayawi hayawi sasa yamekuwa. Kumbe promo zote zile clouds walikuwa wanataka kumsajili alikiba. Upuuzi mtupu. Ila sio kesi levo zake ni za akina Rayvan
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Sijui kama ni mimi tu aliyegundua hili au kuna mwingine ila hajasema. Nahisi Diamond na kiba wameamua kuitumia beef yao kibiashara zaidi. Nimegundua hili baada ya kutafakari mazingira ya...
16 Reactions
52 Replies
6K Views
Sitaki kuzungumza sana jionee mwenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
33 Replies
9K Views
Chidi Benz azua jipya mjini, adai 2Pac yuko hai na anaishi nchini Cuba, na wanaongea kila siku na tayari ameshafanya naye ngoma itakayotoka hivi karibuni. Chidi Benz ambaye kwa sasa anazungumzwa...
15 Reactions
142 Replies
22K Views
Miongoni mwa nyimbo ambazo zilikuwa zina subiriwa kwa hamu huku ikipata airtime kubwa ya promo kutoka vituo vikubwa duniani Kama Mtv Base ni wimbo mpya ambao umetoka leo wa patoranking...
2 Reactions
22 Replies
6K Views
Katika jamii yoyote upendo hujengwa kwa kuanza na misingi Licha ya kuwa watu mbali mbali hasaa mitandaoni kuibuka na kuungana kwa kuonesha chuki za wazi juu ya msanii Diamond platnamz .Bado...
3 Reactions
41 Replies
6K Views
Wadau kwa kilicho tokea Kenya,wa umini wa haki na demokrasia ya dhati watakubaliana na mimi kuwa mahakama ya kenya imeonesha dhahiri kuwa ni muhimili HURU na haiingiliwi ktk kufanya maamuzi yake...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Yaani mnamfananisha na sabuni kicherema na Soggy doggy?
1 Reactions
7 Replies
2K Views
hongera zao baadhi ya wasanii wa marekani, wasanii wa tanzania ni vizuri kujifunza kitu kutoka kwa hawa wasanii wenzenu sio kwamba mchukue tu kwa mashabiki, mkumbuke na kuzirudisha kwa nyakati...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Maisha ni zaidi ya kuishi,maisha ni mahusiano na katika hili basi maisha yana maana zaidi ya kuishi.Mfano pale unapo amka asubuhi na kugundua kuwa kuna binadamu kama wewe wanaishi katika dunia...
10 Reactions
36 Replies
7K Views
Back
Top Bottom