Habari wakuu
Kutakuwa na shindano la fifa 17 kwenye ps3 na ps4 siku ya jumamosi Oct 28,2017 pale NEW MSASANI CLUB,
Shindano litaanzia kwenye hatua ya makundi na kisha mtoano, shindano litaanza saa...
Ilikuwa ni desturi ktk kila tukio la kitaifa au laaa kumuona Mpoto akitumbuiza na kutunzwa na Sizonje iwe kwenye lile jengo jeupe au pengine!
Siku hizi simuoni tena Mpoto akialikwa upande wa...
Hivi kati ya Yound Dar es Salaam na Fid Q nani Bongo bahati mbaya?
Mwana fa safi sana kwa ngoma yako..ila bongo bahati mbaya kaua..huyu jamaa sema tu kwakuwa Tanzania tuna ombwe la redio...
Mrembo wa Tanzania na Kada wa Chadema Wema Sepetu ametoa ya Moyoni kwa nini hakwenda kumuona mapema Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu baada ya kupigwa risasi septemba 7 ni kwamba asingeweza...
Ikiwa imebakia siku moja kuanza kusikilizwa tena kwa kesi ya mauaji ambayo inamkabili, msanii Elizabeth Michael (Lulu) amesema yupo tayari kukabiliana na kesi hiyo, ambayo alijua ipo siku itarudi...
Julitha Kabeta ni mrembo atakaye wakilisha Tanzania mwaka 2017 katika mashindano ya Miss World. Japo imeacha sitofahamu nyingi kwa wadau wa urembo kwa jinsi alivyopatikana. Tunamtakia kila la...
Baada ya kutoka mahakamani amesikika akiulizwa mama una gari akasema akha tunapanda bajaji
Hii kesi naona bora ingefutwa tu
Pili.lulu kakosea sana angejaribu kuweka ukaribu na mama kanumba...
Habari kwenu nyote!
Napenda kupongeza pande zote mbili kwa kazi nzuri ya kufikisha burudani kwa watanzania hasa wakati huu ambao sote tunakabiliwa na msongo wa mawazo ama kwa hakika burudani zenu...
Hii ni picha waliyopiga kipindi mapenzi ni moto
Kama Ilivyo kawaida Wabongo tupe title habar tutajaza wenyewe. Kwa caption hizi za Uchebe mambo yanaonekana sio mazur Yeye na Shishi baby.
Wolper amesema hawezi kuvumulia ujinga wa kunyanyasika na kuteseka kwenye uhusiano na mwanaume kwa kuogopa jamii kumsema ubaya wakati mkosaji akiwa ni mwanaume
"Kila mtu anatakiwa kuwa na...
Maajabu kwa baadhi ya wanawake wa kitanzania pamoja na matusi yote ya Mange hasa yakiwalenga wanawake lakini hao hao ndiyo wapambe na mashabiki wakubwa wa mwanadada huyo.
Ndiyo maana na yeye...
Daktari amesema alipompima Kanumba kiwango cha sukari kilikuwa cha kawaida lakini alipompima shinikizo la damu hakupata kabisa mapigo ya moyo.
Daktari Paplas Kagaiya aliyekuwa akimtibu msanii...
KAMA HUMJUI MUNGU DUNIA ITAKUTESA!
Kwa Kanumba yule nimjuaye mimi. Na Lulu yule ninayemfahamu. Doooh! Ningekuwa Jaji wa kesi ya Lulu, ningekuwa nasikiliza kesi kama simulizi fulani ya mapenzi...
Nakukumbusha tu kuwa Diamond kwa sasa amepoteza mashabiki wengi sana baada ya kuonekana ana mahaba na chama cha kijani hadi kufikia hatua ya kuimba nyimbo za kuwahamasisha watu wakae kimya dhidi...
Bila haka siku moja ungependa kuhudumiwa na staa unayemhusudu. Taarifa zikufikie kwamba msanii Ambwene Yessaya maarufu kama AY amefungua bucha la kuuza nyama na unaambiwa yeye ndio muuzaji.
Picha...
Naomba tufanye tafakuri tunduizi ( critical thinking ) kabisa juu ya hii Kauli ' Tata 'kabisa ambayo Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu na Nne Mama Salma Kikwete aliisema / aliitoa katika Kilele cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.