Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Nakukumbusha tu kuwa Diamond kwa sasa amepoteza mashabiki wengi sana baada ya kuonekana ana mahaba na chama cha kijani hadi kufikia hatua ya kuimba nyimbo za kuwahamasisha watu wakae kimya dhidi ya serikali.
Nimeona una kipaji ila kuendelea kukaa ndani ya Wasafi utajikuta unawekwa kundi Moja na Diamond na huo ndio utakuwa mwisho wako. Baada ya hapo hautakuwa na cha maana zaidi ya kubaki unaimba nyimbo za kampeni za CCM.
Mfano mzuri unaweza ukaona hata nyimbo anazotunga kwa sasa hata hazidumu kwenye chati. Pia hata imepeleka bidhaa yake ya Chibu kudoda sokoni..
Nawasilisha.