Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Utajiri wa mwanamuziki Jay Z ulipanda kwa asilimia 30 mwaka jana na kufikisha utajiri wake hadi $810m (£626m), kwa mujibu wa jarida la Forbes. Lakini kuimarika kwa utajiri wake hakukutosha...
2 Reactions
30 Replies
14K Views
Mambo vipi waswahili wenzangu. Mimi naitwa Snitch ni mmiliki wa account zaid ya 39 instagram lakin sina hata account moja ya bank. Nisikuchoshe kwa porojo ila naomba nikwambie wewe Dada mange...
2 Reactions
84 Replies
20K Views
Kama we ni mpenzi wa Wema Sepetu angalia video hii uone habari zote zinazohusiana na Reality Show ya Wema ambayo amekuja na Season 3 ya In My shoes Subscribe kwenye channel ya wasanii baada ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Harmonize aeleza kuhusu taarifa inayosambaa ya yeye kurudiana na Wolper sio kweli, yeye anachojua ni kwamba wolper anaupenda muziki wake ndio maana kaupost na kushare kwa watu. Pia ameeleza mpenzi...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Ali Kiba MSANII wa muziki wa Bongo Flava, Ali Kiba, anadaiwa kuhojiwa na polisi kwa maelezo ndiye aliyempa Elizabeth Michael Lulu msaada wa usafiri (lifti) baada ya kutoka kwa Steven...
1 Reactions
25 Replies
9K Views
Watu wengi watahojiwa kuhusiana na kifo cha The great.lulu amtaja ali kiba ndiye aliyempa lift kutoka kwa marehemu kanumba.
0 Reactions
63 Replies
25K Views
Diamond anachukua zaidi ya milioni 20 kwa show moja lakini kibakuli katika zile show za vumbi havuti zaidi ya millioni 2 kwa show 1. Life is not fear aisee....
5 Reactions
66 Replies
10K Views
EDO KUMWEMBE SIKU Fulani ya maisha yako. Hakutakuwa na wale walinzi kando yako. Hakutakuwa na rafiki zako kando yako. Hakutakuwa na wale washkaji zako wa mtaani kwako. Hakutakuwa na wale wapambe...
13 Reactions
34 Replies
5K Views
ACCRA,GHANA:Tuzo za African Entertainment Legend Awards(AELA)2017. Hitmaker wa Hallelujah, Diamond platnumz pamoja na watanzania wafuatao Tudy Thomas,Dj Ommy pamoja na super model wa kiume Ben...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Inaonekana kama Wolper anaitafuta bado nafasi yake kwa Harmonize basi kama sio labda bado anampenda na sijui Bff wake Brown imeishia wapi manake hapostiwi tena Angalia hii video uone balaa...
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Habari zenu wanajukwaa. Mada hapo juu yajieleza. Kuna wanadada wenye sauti nyororo wa Clouds FM, yaani Mami na DJ Endy ambaye sijamsikia muda mrefu. Mwenye picha zao tafadhali tuwekee humu...
0 Reactions
19 Replies
9K Views
Hua nashangaa sana ni kwamba Tanzania kwenye upande wa burudani watu ni wapenzi sana wa mziki wa magharibi kuliko wa kiafrika...muda sana sijasikia wasanii haswa wa kongo wakija kupiga show za...
0 Reactions
55 Replies
8K Views
Wakati bi mkubwa yeye akihangaika na Kuuza sura mlimani City, bi Mdogo ameshavamia soko LA kimataifa na siku za hivi karibuni atatokelezea katika filamu iliypigwa South Afrika na Tanzania in show...
2 Reactions
68 Replies
7K Views
Diamond ndugu yangu. Hongera kwa kazi nzuri unazopata na network ya kimuziki unayoipata huko duniani Mungu akubariki sana. Katika chenji zako unazopata kumbuka kuwekeza miradi mingine ya kiuchumi...
5 Reactions
62 Replies
8K Views
Kwenye party ya Mtoto Wa Hamissa Mobeto walionekana mabaunsa wawili wakiwa wako makini kabisa kuhakikisha usalama Wa Hamissa Mobetto! Je wale walinzi nani anilipia gharama zao kama siyo Mond...
2 Reactions
74 Replies
9K Views
Kwa kweli huyu mama anahitaji washauri maana navoona hana mshauri mzuri, ni mama mtu mzima but mambo anayofanya na kupost kwny acc yake ya IG haya aksi kabisa umri wake. Amekuwa mtu wa vijembe na...
12 Reactions
189 Replies
19K Views
Tufurahie warembo wa makabila yetu ili kutunza utamaduni wa MTANZANIA jambo ambalo naimani hata hao wazungu watalifurahia kama tunavyo furahia na kuinga warembo wao.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom