Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wasanii Aslay na Nandy wamepigwa faini ya milioni 5 kwa pamoja kutokana na kukiri, kukubali kosa kuimba wimbo wa 'Subalkheri Mpenzi' bila kufanya mawasiliano na wamiliki wa wimbo huo ambao ni...
0 Reactions
22 Replies
9K Views
1.Vanessa mdee Huyu pamoja na kuwa na jina kubwa ila hana lolote kiukweli anaboronga sababu nyimbo nyingi anajifanya anaimba kizungu. Huyu dada ukisikia ameenda nje ya nchi ni kutafuta collabo au...
11 Reactions
61 Replies
9K Views
Kwa ninachokiona hapa Escape 1,ni tofauti kabisa na kile kilichokuwa kinapewa promo na Clouds,kwamba hii ndio show kubwa ya kwanza 2018....mmmmmmhhhhhhhhh,jamani LIVE band itabaki kuwa ni ya...
6 Reactions
52 Replies
13K Views
Ndugu wadau mimi ni mpenzi wa TV 1 hasa kwenye kipindi tajwa hapo juu huwa nakipenda sana japo kinaonyesha ni cha muda mrefu huwa nikiangalia napata maswali sana moja ya swali ni Yule kiongoz wa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Huyu dada kila ukitaja wasanii wa hip hop wa kike hapa Tz huwezi kumkosa. Lakini personally uwa anavyo flow naona kawaida sana hata mistari yake naona myepesi tu. Wimbo nilioukubari ni up in the...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mange Kimambi amuasa Lulu’Una kesi kubwa achana na social media, jaji atahisi hujali’ don't forget to subscribe for more videos
3 Reactions
18 Replies
5K Views
Baada ya kupotea kwenye mtandao kama wiki mbili hivi bwana insta amemrejeshea acc yake comment oyoo kumkaribisha tena
6 Reactions
88 Replies
22K Views
Mangekimambi: Mgonjwa wenu huyo, December 20 2017 aliposti hii video anakata mauno. Rayvanny akarepost kwake. Alivyoanza kulia mguu unamuuma akaifuta hii video fastaaaaa ili watu wasione kuwa...
15 Reactions
64 Replies
14K Views
Wasanii wetu siku hizi wanaiga utamaduni wa kimagharibi, sijui tunawajengea nini watoto wetu. Hii imekaaje wasanii hawa kupaka rangi kichwani mwao haswa ukizingatia ni wasanii wa kiume hawa!
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wasalaam wana jamvi.... Wachumba wa Zamani Diamond Platinumz na Zari wanatarajia kuandika historia nyingine kama ilivyo kawaida yao pale uwanja wa uhuru ambapo kutakuwa na matukio mengi sana...
6 Reactions
48 Replies
9K Views
Ukiwa hauna pesa unaweza ukajiona wewe ndiye mtu mwenye matatizo pengine kuliko watu maarufu unaowaona kila siku kwenye runinga au kuwasikiliza redioni, lakini ukweli ni kwamba maisha hayapo hivyo...
5 Reactions
35 Replies
7K Views
Mwanadada anayefanya vizuri katika sanaa ya muziki wa Bongo Fleva na sasa anafanya vizuri katika mauzo ya albamu yake inayojulikana kama MoneyMonday, Vanessa Mdee maarufu kama Vee Money ametaja...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Hawa vijana wanaweza Sana. Bado wapo level ya chini na kazi zao zipo mtandaon pekee. Naomba utazame kazi zao utaona jinsi walivyo wabunifu. Ze comedy., mizengwe, vituko show lazima na nyie mfanye...
2 Reactions
16 Replies
8K Views
WAKATI bebi wake, Nasibu Abdul ‘ Diamond Platnumz’ akiugulia maumivu ya kuzomewa na mamia ya mashabiki wa muziki katika Tamasha la Fiesta jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wikiendi iliyopita ...
1 Reactions
102 Replies
17K Views
Leo nimepata muda wa kuperuzi nikaona mahojiano ya huyu mwanamitindo na timu ya mkasi huko youtube,huyu mwanamke amejisifia hadi kama wahusika wameshindwa kuendana na kasi yake,kipindi kimegeuka...
2 Reactions
62 Replies
19K Views
Nimaona kionjo chake kidogo, ngoma iko poa japo sijajua kama ni official release kwa kuwa Jason hajaiweka kwa page take ya IG. Vijana was WCB wanazidi kuchanja mbuga.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Msanii wa filamu, Vincent Kigosi maarufu ‘Ray’ amesema kitendo cha kumvisha mtoto wake hereni ni kutokana na kuwa nyota kama yeye. Ray amesema hayo alipozungumza na MCL Digital...
2 Reactions
89 Replies
11K Views
"MAELEZO YANGU HAYA YATAONDOA UTATA WOTE NA HOPE MTANIELEWA" Kiruuuuuuuuuuuuuuuu wananchi wenye hasira kali angalieni msinitoe roho! Kwa yeyote niliyemkwaza anisamehe bureeee.. Wacha...
0 Reactions
107 Replies
26K Views
Huyu jamaa muigizaji wa steshen moja ya radio kama comedian nampenda sana. Yeye anaigiza kama mtu mlafi sana yani chauroho. Ila hana umaarufu sana
5 Reactions
33 Replies
6K Views
Back
Top Bottom