Wasafi tv na radio inakaribia kuwashwa...Tuanze kupendekeza watangazaji

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,568
7,430
Mtambo unawashwa sio muda mrefu.tuanze kupendekeza majina ya watangazaji wa media yetu wanyonge tumsaidie president wa WCB.



Mapendekezo yangu


Kipindi Cha muziki wa kisasa akae Sky walker

Mambo ya uswahilini akae mzee wa ngenga

Michezo amchukue Masau Bwile

Linex anafaa ana bonge la talent ya utangazaji

Dr shika vipindi vya uchambuz wa ishu nzito

Wazee ili chama ni letu tusaidiane kuibua vipaji
 
mtambo unawashwa sio muda mrefu.tuanze kupendekeza majina ya watangazaji wa media yetu wanyonge tumsaidie president wa wcb.

mapendekezo yangu
kipindi xha muziki wa kisasa akae sky walker

mambo ya uswahilini akae mzee wa ngenga

michezo amchukue masau bwile

linex anafaa ana bonge la talent ys utangazaji

dr shika vipindi vya uchambuz wa ishu nzito


wazee ili chama ni letu tusaidiane kuibua vipaji
Radio ni ya Joseph Kusaga, usidandie vitu usivyovijuwa.
 
Hapo kwa Linex naunga mkono aslimia mia. Dah jamaa alikuwaga anatangaza kipindi cha BONGO.COM enzi hizo Times fm akiwa na jamaa mmoja wakuitwa Bandago Haule jamaa anaesikika kwenye matangazo ya Airtel (vyuma vimekaza). Linex alikuwa anafanya segment moja inaitwa MACHWEO NA MWANA ebhana eee.. jamaa alikuwa anabamba ile mbaya
 
Back
Top Bottom