VIDEO: Steve Nyerere akiongea kuhusu mitandao

Kamuombe Msamaha TID au akupeleke lupango! Yaani Makonda amuhonge TID million Mbili? ndio maana kakuita kinaniii kijamaa gani hata sikifahamu... yaani kakudharau sana na Lazima umuombe Msamaha...
 
Ilitakiwa steve asizungumze wala kuonekana walau kwa miez sita hivi
Now kila anacho ongea watu watazidi ku mdis tuu
 
Kikuwadi cha bongo movie..anaishi mjini kwa umbea na majungu tu acha nae aisome namba sasa
 
, mama wema kamfundisha lesson. Ana~underestimate nguvu ya mitandao. Mitandao ndiyo kila kitu siku hizi, ina influence sana maisha yetu kuanzia nini mtu unakula, unavaa, wapi unasoma, hadi nani ataingia ikulu.

Anajitahidi kumuongea vizuri rais ila wote tunajua ni just for show, mfanyabiashara yeyote sasa hivi anajitahidi kusifiasifia kidogo uongozi ili asiingie kwenye 18 za africa's kim jeong eun. Ampondee rais alafu ale wapi? waendelee kumpa kichwa tu, hadi sa hivi kishavimba
 
Ujumbe wa kinafiki lakin ndo ukwel huoo...

Nchi aindeshi kwa mitandao fanyeni kazi. Ful stop
 
Baadhi ya Wasanii wetu kichwani hamna kitu, hiyo siyo dhambi dhambi ni pale wanaposhindwa kuwa na washauri au kuangalia wenzao yalipowakuta walifanyaje.

Sasa badala ya sasa hivi kusikilizia kuwa mtu wa nyumbani, wewe unaendeleza kuonekana?
 
Back
Top Bottom