Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wadau, Mdau Ruttashobolwa alileta hapa Uzi wa mdau mwengine wa humu W. J. Malecela akimshutumu Naibu Waziri wa Habari, Michezo Bi. Juliana Shonza ambae alikua pia ni mdau humu Jamiiforums...
12 Reactions
101 Replies
12K Views
Hawa jamaa wawili ni wasanii wa hip hop Tanzania...ukweli ni kwamba wanaweza wasiwe wasanii wa kali sana lakini ni wasanii wanaoimba zaidi kuhusu maisha ya mtaani,jinsi watanzania wanavyopata...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Kama mnamsoma jamaa alianza vizuri Sana,wengi tukasema Nasty c anakuja kupotezwa...Flow kali..,Mistari mikali Bilingual Beast kumzidi wakazi..wote tuka Bet kua Young nigga is goin to Rep...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nikki sina bifu na wewe ila nataka nikueleze tu ,huna talent ya kuimba nasema tena " HUNA KIPAJI CHA KUIMBA " , na kama ile mistari unayoimbaga unaitunga ww basi nakushauri baki ukiwa kama mtunzi...
11 Reactions
52 Replies
8K Views
Sakata la Diamond, Je Shonza, Naibu waziri mdogo wa wasanii, Je anatumika na CloudsGroup/RUGE au ana uwezo mdogo? au yote. Nakili, Baada ya kusikia uteuzi wa Bibiye shonza katka wizara hii nyeti...
6 Reactions
38 Replies
5K Views
Malkia wa nyimbo za mwambao Afrika Mashariki na kati, Khadija Omary Kopa amesema sio jambo zuri kwa wanawake kukaa kugombea mwanaume na kuwataka wawe wabunifu katika mapishi pamoja na kutumia...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wastara amesema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa kupitia ukurasa wa facebook wa EATV kila siku ya Jumatano kuanzia saa nane mchana mpaka saa kumi jioni, Wastara anasema...
6 Reactions
147 Replies
20K Views
Kiukweli mimi ni mmoja wa watu na mashabiki wa Diamond na mashabiki wengine ambao tuna amini Nyimbo na video za wasanii husika ikiwemo Diamond zina makosa na walipaswa kujikita kurekebisha makosa...
2 Reactions
181 Replies
19K Views
Diamond Platnumz akiongea na Times FM 100.5fm amesema Rais Magufuli alimpigia simu kumpongeza kwa kuchaguliwa kwenda kutumbuiza katika Kombe la Dunia huko Urusi mwezi wa June. Na yeye Diamond...
16 Reactions
47 Replies
12K Views
Muda huu Chibu dii Chibu dee anahojiwa sasa hivi kwenye kipindi cha play list kinachorushwa na Times Fm UPDATES ========================================== > Siku niliyopewa taarifa za kuimba na...
18 Reactions
192 Replies
36K Views
Pole sana mdogo wangu, sikupi pole ya maadui na haters wengi waliokuzunguka, nakupa pole kwasababu kuna mahali umeshika nyeti za mwamba na unataka kuzifunua. Inawezekana kabisa ukawa unalifahamu...
16 Reactions
48 Replies
6K Views
Nimeona juzi tu chalii kaachia ngoma mpya tena ikiwa ni katikati ya trending stories kuhusu Chibu na Album yake,Chibu na Song kali la African Beauty,Chibu na Wema,Chibu na Yule Demu Msaidizi wa...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
Mahakama ya Afrika ya watu na haki za binadamu yenye makao yake makuu jijini Arusha, leo inatarajia kutoa hukumu ya kesi ya mwanamuziki nguli nchini, Nguza Viking na mwanawe Johnson Nguza ‘Papii...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hii nchi ishakuwa ya ajabu sana ,hivi nyie Basata au mawaziri wa sanaa mmeshawah kuwasaidia nini wasanii au kuwainua katika swala La mziki , Mkatae mkubali Diamond katutangaza duniani anapoenda...
20 Reactions
113 Replies
12K Views
WEMA SEPETU NA ZARI THE BOSS LADY KUMEKUCHA, HAPATOSHI, DJ WA DIAMOND JORMY JONES AFANYA YAKE Wema, Zari Hapatoshi Mitandaoni, Maua Yazua Gumzo Balaa! Siku chache baada ya mzazi mwenza wa Mbongo...
0 Reactions
75 Replies
9K Views
Diamond amesema hayo alivyokuwa anafanyiwa interview huko Kenya alipoenda Kuzindua album yake ya 'A boy from Tandale' Kua amethibitisha Zari amemuacha tarehe 14 February 2018 ila mwanamke...
14 Reactions
245 Replies
26K Views
mimi namkubali sana Mond bin laden aka Chibu simba platinamzi , hivi huu wimbo wa mond na rich Mavoko , hawa bazata kama sio basata hawajauona ?? mbona mademu wako uchi kabisaaaa kuliko hata wale...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Steven Seagal accused by 2 women of rape and sexual assault LUCHINA FISHER,Good Morning America 8 hours ago Steven Seagal accused by 2 women of rape and sexual assault (ABC News) Two women...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Staa wa muziki wa Hip Hop nchini Marekani Calvin Cordozar Broadus ambaye wengi wanamfahamu kwa jina maarufu kama Snoop Dogg alitangaza kuachana na muziki wa Hip Hop (kidunia) na kumrudia Mungu kwa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom