Usiku wa 900 itapendeza ni shoo/hafla inayotarajiwa kufanyika 9 Disemba 2017
Uwanja wa Dar Live kumtambulisha dr.Shika kwenye muonekano mpya wakibilionea na Kumpongeza kwa kushindwa kushinda...
Wasanii Nguza Viking 'Babu Seya' na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha wamefunguka na kuweka wazi kuwa katika maisha yao ya muziki na sanaa hawataki kusikia kitu kinaitwa siasa na kusema wao siyo...
*Adhibitiwe na kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria kwa 'kumtweza' Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo kupitia mitandao (kama itathibitika hivyo). Umaarufu haujawahi kuizidi nguvu...
Licha ya Jokate Mwegelo aka Kidoti kuachana na Hasheem Thabeet kwenye mahusiano yao ambayo yalidumu kwa takribani miaka mitatu, bado wawili hao wameonyesha kutokuwa maadui na wameendelea kuwa watu...
Msanii wa muziki wa hip hop, Roma Mkatoliki amefunguka na kutoa kilio chake kwa Basata ikiwa ni mwezi mmoja toka afungiwe kujihusisha na shughuli za sanaa kutokana na kudaiwa kutoa wimbo ‘Kibamia’...
Mwanamitindo Millen Magese amempa 'shushu' shabiki wake baada ya kumtuhumu kumkaba mwanae ili kupata umaarufu.
Shabiki huyo alisema "Mtakuja kuwanyonga watoto kwa kutafuta kusifiwa" katika...
Lejendari mwenye kiota chake ndani ya Tasnia ya Bongo Fleva, Profesa Jay amerudi kivingine. Nimekuwa nikimfuatilia kwa muda mrefu kuanzia kipindi kile cha HBC, kipindi cha Chemsha Bongo, Bongo Dar...
Mara baada ya kuachana na Diamond Platnumz hatimaye Zari the boss amenasa mimba ya mzungu.
Habari nyeti kutoka mitaa hiyo zinasema mzungu huyo amekuwa na mahusiano ya kimya kimya na Zari kwa muda...
Wanajamvi wasalaam..
Kuna msemo unasema ndugu wakigombana au kutofautiana basi wewe chakufanya shika jembe ukalime,,,
Leo msanii Diamond Platinumz akiongozana na mameneja wake walikwenda Basata...
Leo nilikua uwanja wa tabata shule kuangalia mechi za ligi ya mchangani..ALIKIBA nae alikicheza namba 9 kiukwel mpira anajua kucheza ila nilichoshangaa watu wala hawamshangai kama tulivozoea kwa...
kitendo cha ndani ya mwezi mmoja kufungiwa na basata na kuanza kulalama anakufa njaa, mara mtoto anakosa ada mara mke mjamzito anashindwa kumhudumia nauliza tu hivi huyu jama huwa haweki akiba? Au...
Je' unawafahamu ni Wakina nani walikuwa watumiaji 10 wa kwanza wa mtandao wa Facebook? Hawa ni wanafunzi wa Havard University walioonyesha mapenzi ya kujaribu mtandao wa bluu kama ulivyokuwa...
MAHAKAMA YASHINDWA KUSOMA HUKUMU YA MASOGANGE
Hata hivyo, mdhamini wa Masogange ambaye hakutaja jina lake alisimama na kuiambia mahakama kuwa Masogange hakufika mahakamani kwa sababu anaumwa...
Greetings wakuu!
Nimesikitishwa sana na kauli ya bwana ROMA MKATOLIKI kwamba ameshindwa kumpeleka mwanaye shule kwa kukosa karo kutokana na 'kufungiwa' kwa miezi 6 kutojihusisha na sanaa na...
Pamoja na vyuma kukaza, bado anga la burudani lina shamra shamra kila uchwao!
Ndani ya mwaka huu matukio mengi ya burudani yamefululiza na bado yajayo yanafurahisha, swali la msingi hapa ni je...
Mrembo Jane Rimoy kwa jina maarufu anajulikana kama Sanchi au Sanchoka anayefanya shughuli za umodel nchini Tanzania , ameweka wazi kwa mwanaume mwenye nia ya kumuoa mahari yake kwa sasa ajiandae...
Mchekeshaji kutoka kundi la Timamu, Ebitoke amejibu tuhuma kuwa amekuwa akitoka kimapenzi na mume wa Mamaa Ashura.
Muigizaji huyo amesema kuwa tuhuma hizo hazina ukweli wowote ni stori tu za...
Wakuu kwanza nimpongeze Mondy baba Tiffah kwa jitihada zake za kuinua vipaji vichanga, nafurah kuona anaendeleza kazi iliyoasisiwa na King of Bongo Flavor in East n Central Africa #Alikiba ambapo...
Jamani sichoki kuusikiliza huu wimbo. Dimond hachoshi jamani kutizamwa. Na huyo Omarion jee kaua mbayaaa yani ana mzuka wa kucheza mpaka raha aisee. Beat imetulia mnoo yani ki ufupi inachezeka na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.