Wema, Zari Hapatoshi Mitandaoni, Maua Yazua Gumzo Balaa

Wema, Zari Hapatoshi Mitandaoni, Maua Yazua Gumzo Balaa

Libya

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2016
Posts
799
Reaction score
2,058
WEMA SEPETU NA ZARI THE BOSS LADY KUMEKUCHA, HAPATOSHI, DJ WA DIAMOND JORMY JONES AFANYA YAKE

Wema, Zari Hapatoshi Mitandaoni, Maua Yazua Gumzo Balaa! Siku chache baada ya mzazi mwenza wa Mbongo Fleva, Diamond Platnumz, Mwanamama Zari The Boss Lady, kupost picha ya ua jeusi katika ukurasa wake wa Instagram, akiashiria kupigana kibuti na mzazi mwenziye huyo.

Queen wa Bongo Muvi, Wema Sepetu, ambaye hivi karibuni ameibua minongo’no kuwa amerudiana na x- wake ambaye ni mzazi mwenza wa Zari, Diamond, ambapo leo amewashangaza mashabiki mitandaoni kwa kuposti picha ya Ua jekundu kwenye ukurasa wake wa Instagram, linaloashiria Mapenzi ya dhati, na kuwaachama mashabiki njia panda wasijue kuwa ua hilo ni kijembe cha kumuonyeshea Zari kuwa ni kweli amerudiana na mbongo Fleva huyo au lah!

Baada ya posti hiyo ya Wema, mashabiki wamekuwa na maoni tofauti tofauti, huku wengine wakidai hakutakiwa kupost ua hilo, wengine wamempongeza na kuonyesha kutamani kuona wawili hao wakirudiana.

Ripoti tatizo
 
Kweli ule msemo usemao "mwanamke asiye na akili viungo vyake vya SIRI huumia zaidi. Nadhani kiungo cha dada yetu huyu kinakaribia kuchacha

Sio kwamba kisichotumika ndio uchacha hususan kama msemo umelalia kwenye chakula? Yaani kutokupashwa joto.
 
hahha..hayo,si..maua,tuu
duniani,kuna..mengi,hadi..hizo..ishara..ama,picha,zinatafsiriwa..seriously..ivo.
 
Diamond kasema mwaka huu lazima aoe na kwa mujibu wake akiachna na mtu its ova hao hawana nafasi kabisa
 
kila mtu ana tafsiri yake ya ujumbe uliotolewa na maua ..........sisi binadamu ndo tunashabikia uhasama. Ingefurahisha Zaidi kama ushabiki wetu ungejielekeza katika kuwanasihi hawa wanandoa waliotengana ili wajue na kujutia makosa yao warudiane kwa faida ya watoto wao.
 
Sio kwamba kisichotumika ndio uchacha hususan kama msemo umelalia kwenye chakula? Yaani kutokupashwa joto.
Yani kimetumikaaaa weee kimebakia kiporo kinapashwa weèee sasa mwishoe huchacha. Yani ni kiporo hicho kinaenda kuchacha
 
Back
Top Bottom