Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema msanii Diamond anafaa kuwa balozi wa maadili kutokana na ushawishi alionao kwa sasa.
Waziri Mwakyembe amesema hayo...
Mbunge wa Mikumi, Muheshimiwa Joseph Haule au Professor Jay amefunguka na kusema tatizo linalosababisha kufungiwa kwa wasanii na kazi zao mara kwa mara ni kuwepo kwa mrundikano wa watendaji...
Ikiwa imepita miaka takriban mitano tangu isambazwe propaganda kwamba wakati wa Jide umeisha kwaio ilimbidi akabidhi kijiti kwa msanii mwingine wa kike.
Kwa mtazamo wako unadhani ni nani...
Akiunga mkono kauli aliyotoa Diamond wakati anahojiwa na TimesFm.... Joti nae ameunga mkono msimamo wa Diamond wa kutokubali kubuluzwa na media.
Diamond kwa kujiamini alisema wakati wa kuwa...
Wakati mrembo wetu Wema akiwa hapa Tz akituonyesha wowowo, yule mshindan wake kutoka Uganda amewasili kwa mualiko rasmi wa kupiga deal ya tangazo la pampers hapa Tanzania.
Hongera Zari fanya kazi...
Kipindi ametoka na ngoma zake mbili za kwanza 'Libebe' na 'Sikinai' nilihisi amebahatisha hivyo sikumpa attention kubwa kivile, ila kwa sasa nimejisajili kuwa fan wake rasmi, this man is [emoji91]...
Inasemekana matajiri wengi wakubwa wa level ya Forbes akiwemo Bill Gates na watu mbalimbali mashuhuri duniani walihudhuria.
Kwa mujibu wa mtangazaji wa runinga nchini Kenya, ndugu Jeff Koinange...
Msanii Maua Sama ameeleza sababu ya kuachia picha ambazo si za kawaida kabisa kutoka kwake,
Picha hizo ambazo zilimuacha wazi sehemu kubwa ya mapaja yake aliziweka mtandaoni kati ya February 19...
Mod Msiunganishe huu Uzi tafadhari.
Kutokana na kile nilichokiona jana kuhusu Diamond na Wizara ya Habari,Sanaa na Utamaduni kumuandalia kikao Diamond na timu yake inadhihirisha waziwazi kuwa...
Nimejaribu kuvunga sana ...sema nimeshindwa labda mi sina sikio la studio lakini nadhani jux amekuwa na style moja ya kuimba ..yan nyimbo zjmekuwa na ladha moja ..mpka zina kinai mana watu...
Baada ya mtifuano wa Diamond na Naibu waziri Shonza, baba yake Diamond mzee Abdul Juma, ameibuka na kusema kitendo cha mwanaye kimemsikitisha sana na ni mwendelezo wa yale ambayo amekuwa...
Hakika wimbo mpya wa Lady Jay Dee unaoitwa nani anaweza kusimama ni wimbo mzuri mno kuanzia ujumbe mpaka rhythm yaani kiukweli,komando bado anadhihirisha ni moto wakuotea mbali
Mwanaharakati mashuhuri katika mitandao ya kijamii hasa instagram, Mange Kimambi amefunguka na kusema kuwa kuna kitu kikubwa msanii wa muziki wa hip-hop Roma anataka kukifanya lakini amekaa kimya...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amewahakikishia wananchi kuwa serikali haina ugomvi wowote na wasanii nchini bali wanachofanya ni kusimamia maadili katika...
Mama yake na 50 cent alikuwa msagaji anathibitisha mwenyewe kwenye wimbo alioshirikiana na The Game ninanumnukuu,"Coming up I was confused my mama kissed a girl, Daddy was not around, I wanna live...
wote tunakubali kua kwa misambwanda tu hapa bongo bas mungu kawajaalia hawa mastaa wawili mizigo ya haja lakini napata wakati mgumu kujua nani ni kajaaliwa zaidi ya mwenzie:confused:
em nanyie...
Msanii Lady Jaydee ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram jinsi alivyompotezea mfanyakazi wa kituo kimoja cha tv aliyekuwa akimteta:
"Juzi tu wakati na promote wimbo, nilienda kwenye TV...
Wasalaam wana jamvi
Kama mnavyojua fika kuwa kuna mgogoro kati ya WCB na media za IPP na Clouds....lakini hadi sasa mgogoro huu kwa kiasi kikubwa umekuwa ukiwaathiri sana watangazaji wa media...
Kale kademu Mina Ali kamenifanya nichukie hiki kipindi cha Amplifaya cha clouds sababu ya utani wake wa kitoto...... hapo kabla Ayo alikuwa anaenda nacho vizuri na u-serious wa...
Usiku wa 900 itapendeza ni shoo/hafla inayotarajiwa kufanyika 9 Disemba 2017
Uwanja wa Dar Live kumtambulisha dr.Shika kwenye muonekano mpya wakibilionea na Kumpongeza kwa kushindwa kushinda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.