Diamond: Wema ndo mwanamke aliyekuwa akiniliza

Diamond: Wema ndo mwanamke aliyekuwa akiniliza

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
38,380
Reaction score
56,094
Diamond amesema hayo alivyokuwa anafanyiwa interview huko Kenya alipoenda Kuzindua album yake ya 'A boy from Tandale'

Kua amethibitisha Zari amemuacha tarehe 14 February 2018 ila mwanamke aliyempenda haswaa na kufanya alie ni Wema haswa pale alipokuwa anamfanyia vituko na visa ktk mahusiano yao.

Kuna muda alikuwa akiwa na Wema anahisi yuko peponi haswaaa!!japo kwa sasa they are not together anymore zaidi ya urafiki tu na kabla ya kuachana na Wema hakutegemea kama angeweza kuishi bila Wema na ilimchukua muda kumsahau Wema so kwa muda wa miaka minne waliyoachana wala hana mapenzi na Wema zaidi ya urafiki na atakuwa host wa Wasafi Media.

Kwa sasa yuko busy kutangaza album yake mapenzi baadae!

Hayo ndo ya Diamond na Zari,Diamond na Wema (wote wapo single)mliokuwa mnammendea Zarina the time is now sasa Dogo kashatemwa nendeni mkamlee mama watano!
 
Naona jamaa anatamani kurudi kwa wema,acha tusubiri muda utasema
tapatalk_1521305307047.jpeg
 
Domo naye aache uhuni
Si alisema Zari ndio kila kitu, atatembelea magoti kutoka hapa mpaka South Afrika kuomba msamaha!
Sema ujue watu wakisha achana kila mtu huwa ana jifanya hajali.
[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] umeona eewwh!!maneno ya mkosaji then i think diamond anamtumia Wema na team yake ili apate sapoti maana huku kwa Zari kashaharibu!
 
[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] umeona eewwh!!maneno ya mkosaji then i think diamond anamtumia Wema na team yake ili apate sapoti maana huku kwa Zari kashaharibu!
Wanakulana kinyemela. Naona wameona watumiane kwenye kujikikisha.
Wema naye ajiangalie na future yake.
 
Back
Top Bottom