Ndo kusema Aslay amebugi au wananchi wamemkaushia?

Chinga One

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
10,411
2,000
Nimeona juzi tu chalii kaachia ngoma mpya tena ikiwa ni katikati ya trending stories kuhusu Chibu na Album yake,Chibu na Song kali la African Beauty,Chibu na Wema,Chibu na Yule Demu Msaidizi wa Waziri wa Habari.

Ninachoshangaa ni kuona ule wimbo km hausikiki kabisaaa,Aslay huyu huyu alokuwa anapewa promo ya kutisha na wale wanaojiita mashoga na ile media yao leo hii wameshindwa kumpamba huyu dogo? Au wamekosea timing ya kumshauri dogo aachie ngoma ili kumzima Simba? au ngoma mbovu?

Ushauri tu kwa Aslay km anajielewa asijaribu kutumika ili kupambanishwa na watu ataumia afanye mziki km yeye na si mashindano,wakubwa zake wameshindwa atakua yeye? Hao jamaa watamponza akamuulize mfalme uchwara yule sa hivi amebaki kupaka rangi ya ice cream kwenye nywele tu kama Alicia Keys.
 
mtotomtamuu

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
521
1,000
Huyo mtoto anaendeshwa na Clouds media ili kumvurugia Diamond kazi zake, clouds wanatumia nguvu kubwa sana kumpromote aslay wakizani kuwa ataweza kumfunika Diamond, kumbe wapii, ifike mahali sisi kama taifa tuache chuki sio mpaka mtu afe ndio tuanze kumlilia kuwa alikuwa icon ya taifa na hatutompata mwingine kama yeye, think kanumba tokea afariki bongo movie ipo wapi sasa, nani mwingine Ameweza kupiga hatua kimataifa kama kanumba?

Leo hii diamond akitoweka i swear tz tutachukua miaka mingi sana kuja kumpata mtu kama huyu, huyo aslay bado sana na ataishia kutusua tz tu lakini nnje bado sijaona uthubutu wake na juhudi, hao clouds watamtumia na kumnyonya mwishowe akiishiwa watamtema kama kawaida yao
 
mtotomtamuu

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
521
1,000
Na clouds kwa sasa wanapata shida sana hasa akina Millard Ayo, Soudy brown kwani walishazoea kujipatia umaarufu kupitia drama na scandal za WCB

Sasa leo wamejiingiza kwenye bifu na WCB nzima, nawaona wanahaha kutafuta habari na sasa hata vipindi vyao vinapooza cz bila ubuyu wa WCB bado kipindi hakinogi

Na ndio maana Diamond aliwaambia ukweli kuwa mimi ni kama maji utaninywa tu mean haepukiki,
 
Zambotti

Zambotti

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,545
2,000
Timing ilikuwa mbovu tu, nyakati hizi mambo yakujadili yamekuwa mengi kuliko muziki wake
 
Victor wa happy

Victor wa happy

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
11,693
2,000
We unamkubali Nani?

Majibu mpe mkeo apo
 
fasiliteta

fasiliteta

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
1,117
2,000
Ile show clouds hasara walokula ndo zinazid kuwatia hasira ya kutafuta kila silaha ya kupambana na WCB,yani waandae show wale HASARA kisa WCB daaah inawapain sana kuona WCB wamesepa na nusu mafans wa burudan tena wanaosupport,sa hivi wamebaki na mafans wale wa kulike page tu na kucomment
 
dabluz

dabluz

JF-Expert Member
Feb 28, 2013
2,406
2,000
Na clouds kwa sasa wanapata shida sana hasa akina Millard Ayo, Soudy brown kwani walishazoea kujipatia umaarufu kupitia drama na scandal za WCB

Sasa leo wamejiingiza kwenye bifu na WCB nzima, nawaona wanahaha kutafuta habari na sasa hata vipindi vyao vinapooza cz bila ubuyu wa WCB bado kipindi hakinogi

Na ndio maana Diamond aliwaambia ukweli kuwa mimi ni kama maji utaninywa tu mean haepukiki,
@Mtoto mtamu unaongea kwa hisia sana.
Ila nimejikuta tu natamani kujua upo upande upi! !Ke ama Me?
 
J

Jux juma

JF-Expert Member
Feb 27, 2017
871
1,000
Dgo atapotea yan clouds wamenifanya nianze kumhate dgo
 
Top Bottom