Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

kweli Dunia imevaa matambaa ,zile tabia za Sodoma zinaendelea kuzaga. hadi wale watumwa waliopelekwa huko wanasaidia ma boss wao kuusambaza usenge
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Wiki mbili zilizopita jina la Diamond Platnumz lilipamba vichwa vya habari. Hiyo iliyokana na mahojiano aliyofanya na kituo cha redio cha Times Machi 19 mwaka huu, akimlalamikia Naibu Waziri wa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Zari The Boss Lady ametua nchini Dubai kwa ajili ya kula bata na kufurahia wikiendi ikiwa ni siku chache zimepita tangu aliposaini dili la mamilioni ya fedha na kampuni moja ya nepi za watato hapa...
7 Reactions
42 Replies
10K Views
Sidhani comedians wetu kama wanaweza kufikia hata nusu yake zaidi ya kuigiza sauti tu
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Watanzania mnayapata wapi mapenzi ya Wema Sepetu kwenye bongo movie? Kipi special kwa Wema ambacho anafaa kupewa tuzo ya Best actress? Nimeangalia Heaven Sent ni movie ya kawaida sana ambaye...
2 Reactions
39 Replies
6K Views
WCB wameshawapumbaza wabongo kweli...Diamond akinya breaking news ..kiato kimekatika breaking news. kifesi kuachishwa kazi breaking news.. kiba kuoa mombasa wamemupotezea... kiba sijuwe kafanya...
3 Reactions
54 Replies
7K Views
Ni ukweli usiopingika kwamba Watu maarufu hawa Mwanamuziki Nasib Abdul ( Diamond Platinum ) na Msanii wa Maigizo na Mlimbwende Wema Sepetu ( Sepenga ) ni Watu wenye ' Nyota ' kali sana za...
6 Reactions
48 Replies
6K Views
Usishangae kukuta mtu kama wiz khalifa, snoop dogg, akina lil Wayne ma king katika kupuliza weed aka moshi au jani kitu cha AR wapo ktk kiti cha enzi mbinguni huku watu wema na walokole...
1 Reactions
32 Replies
6K Views
Nimeangalia picha zinazozunguka mitandaoni za hawa mabinti mawili. Kwanza ya Joyce Kiria ambaye anadai mwanaume anayetaka kutoka naye hivi sasa ni lazima alipie gharama za vitu atakavyokuwa amevaa...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Nina hadithi ndefu sana inayohusu maisha yangu binafsi(mapenzi),naamini ikichezwa filamu itavunja rekodi kwenye soko.
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Baada ya kuvuja kwa picha na video zikimuonesha mrembo Wema Sepetu akiwa kwenye Swimming Pool. Hatimaye aliyewahi kuwa Boyfriend wake Idris Sultan amesema picha hizo aliziona na amechukulia...
1 Reactions
20 Replies
9K Views
Moshi. Watanzania watatu na raia wa Marekani, wameteuliwa kutunukiwa tuzo katika tamasha lililoandaliwa na Watanzania waishio ughaibuni (Diaspora) litakalofanyika Dallas nchini Marekani. Miongoni...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Jamaa alitamba sana na vibao vyake moto moto kama Kizizi, Mapenzi Vionjo na Chagua Moja. Ila amepotea kwenye game saivi. Naomba nijue yuko wapi na anajishughulisha na nini?
1 Reactions
37 Replies
8K Views
Baada ya mdau mmoja kuanzisha Uzi akizungumzia wasanii was vichekesho wasiojua. Mimi nawaletea wasanii wangu wanaojua katika sector ya bongo flava Ninaposema wanaojua nazungumzia aspects nyingi...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Monde ushaambiwa, hapa kazi tu. Sasa mheshimiwa sana alipokupa nafasi ya kuimba, alitegemea uimbe nyimbo kama za kina Mrisho Mpoto za kusifia maendeleo ya chama na serikali wewe ukaboronga na...
3 Reactions
12 Replies
4K Views
Huyu wa kuitwa jamuhuri mwavyombo anachefua anaposoma Habari anasoma neno moja moja Ni siku nyingi Sasa nimevumilia hii kero imetosha Mimi Ni mdau mkubwa wa BBC swahili huyu Mtangazaji anakera...
2 Reactions
33 Replies
6K Views
Shalom,Leo nikiwa nimejipumzisha home baada ya kutoka kanisani nikiwa naangalia Emmanuel TV mara namuona Jerry Muro yuko ndani ya SCOAN,sijui kaenda kutubu.
6 Reactions
66 Replies
11K Views
Heri ya Pasaka wapendwa; Leo pale maeneo ya Mlimani city hall kutakua na tamasha la film la kwanza Kwa hapa Tanzania ambapo tuzo mbalimbali za film zitatolewa usiku wa Leo kwa wasanii...
5 Reactions
388 Replies
31K Views
uyo jama shenzi type kweli kaingilia love life ya boss wake Diamond .. kabla ata hajafukuzwa rasmi ...kakimbilia instagram kuwadanganya watu eti ameacha kazi ... kwani kuachishwa kazi si kawaida...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama ilivyo ada,kwa dunia ya sasa ya kidigital 90% imetawaliwa na social media...sasa kwa hapa bongo siku ya jana kulikua na matukio makubwa manne ukiachilia mbali pasaka na siku ya wajinga ambazo...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom