Diamond Platnumz ateta jambo na Mheshimiwa Rais

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,321
11,315
Wiki mbili zilizopita jina la Diamond Platnumz lilipamba vichwa vya habari. Hiyo iliyokana na mahojiano aliyofanya na kituo cha redio cha Times Machi 19 mwaka huu, akimlalamikia Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza kufungia nyimbo za wasanii bila kuzingatia hasara na usumbufu wanaopata.

Lakini Juzi ameonekana Akiteta jambo na Mh Rais... huwenda Kuna mambo makubwa yanakuja kufanyika katika tasnia Ya Bongoflava na sanaa Kwa Ujumla.

Screenshot_2018-04-05-07-38-24-1.jpg
 
View attachment 734841
Duuuh buree kabisaa ww
 
Back
Top Bottom