Jerry Murro yupo kwa TB Joshua

Shalom,Leo nikiwa nimejipumzisha home baada ya kutoka kanisani nikiwa naangalia Emmanuel TV mara namuona Jerry Muro yuko ndani ya SCOAN,sijui kaenda kutubu.
Akitubu kwa kweli, kutoka moyoni mwake, mungu atamsamehe na atakuwa mtu mpya.
 
Mbona Mwigulu alienda? Hajabadilika hadi Leo... Siku hizi ni fashion kwenda huko
 
Nashindwa kuapload mkuu,msaada tafadhali
Kama una tumia app ya jf, bofya hiyo icon ya ktk hapo itakupeleka kwenye gallery utachagua hiyo picha the utaiupload na kuisend.
Screenshot_2018-04-01-13-12-37.jpg
 
Niko naangalia Chanel ya Emmanuel TV inayoonyesha huduma za kiroho za Prophet TB Joshua kutoka kanisa la SCOAN lilililoko Lagos Nigeria nikamuona Mtangazaji wa zamani,msemaji was zamani was Yanga na kada wa ccm Jerry Murro akiwa viti vya mbele na watanzania wenzake.Hongera Jerry Murro kwa kuwa deep kwa Mambo ya kiroho ,vijana tuamke
 

Attachments

  • IMG_20180401_130214.jpg
    IMG_20180401_130214.jpg
    103.1 KB · Views: 71
Back
Top Bottom