Kweli bongo imeshikwa na hawa watu...

Kweli bongo imeshikwa na hawa watu...

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,493
Reaction score
12,461
Kama ilivyo ada,kwa dunia ya sasa ya kidigital 90% imetawaliwa na social media...sasa kwa hapa bongo siku ya jana kulikua na matukio makubwa manne ukiachilia mbali pasaka na siku ya wajinga ambazo ni world wide...
1.kulikuwa na mechi ya Singida Utd vs Yanga
2.Tuzo za sinema zetu
3.Kuwashwa rasmi kwa Wasafi TV
4.kukamatwa kwa Halima Mdee
Katika matukio hayo name nimeona kwa sasa ni moja tu lililotawala na kuyazima mengine huko mitandaoni ambapo tukio la Wema kupata tuzo na Diamond kukumbatiana na Hamisa Mobeto yamebamba sana yani kana kwamba watu hao walikuwa peke yao ukumbini hata yule wazir mfungiaji alikuwepo lakin hakun aliyempa attention ukiingia huko kwenye site mbalimbali gumzo ni Hao watu...hata maudhui ya tukio la tuzo yamefunikwa kabisaa.

Ndo kusema bongo ujinga mwingi au watu wanapendwa sana?
 
Maisha ukiyachukulia serious kama ww, lazima utakuwa chizi, kwa hiyo burdan inakuwa kama refreshments.
 
WCB wameshawapumbaza wabongo ...Diamond akinya breaking news ..kiato kimekatika breaking news. kifesi kuachishwa kazi breaking news.. kiba kuoa mombasa wamemupotezea... kiba sijuwe kafanya nini hawataki kujuwa ... kila wanachotaka kujuwa nikujuwa ya WCB peke .
 
Mbona Mimi sijasikia wala kuona hayo matukio yote hayo.... [emoji14]
 
Mimi nilikuwa sijui hiyo habari wewe ndio umeileta hapa nikaijua,sasa wewe ni mjinga ama unampenda?
 
Tuzo kapokea Wema kumbatio akapewa Hamisa? au sijaelewa, hebu ngoja nisome tena.
 
Duh [emoji23][emoji23] unaamini huo upuuzi watu wote wanaujua?kuna tabaka dogo la wambea,watu wa burudani na wale ambao maisha yao yapo IG hizo habari ndio saizi yao sisi wengine jana ilikua ni bia after bia.
 
Kama ilivyo ada,kwa dunia ya sasa ya kidigital 90% imetawaliwa na social media...sasa kwa hapa bongo siku ya jana kulikua na matukio makubwa manne ukiachilia mbali pasaka na siku ya wajinga ambazo ni world wide...
1.kulikuwa na mechi ya Singida Utd vs Yanga
2.Tuzo za sinema zetu
3.Kuwashwa rasmi kwa Wasafi TV
4.kukamatwa kwa Halima Mdee
Katika matukio hayo name nimeona kwa sasa ni moja tu lililotawala na kuyazima mengine huko mitandaoni ambapo tukio la Wema kupata tuzo na Diamond kukumbatiana na Hamisa Mobeto yamebamba sana yani kana kwamba watu hao walikuwa peke yao ukumbini hata yule wazir mfungiaji alikuwepo lakin hakun aliyempa attention ukiingia huko kwenye site mbalimbali gumzo ni Hao watu...hata maudhui ya tukio la tuzo yamefunikwa kabisaa.

Ndo kusema bongo ujinga mwingi au watu wanapendwa sana?
Kusema ukweli hapo nilichokisikia ni kukamatwa kwa Mdee tu.
 
Inategemea ume subscribe media zipii.? Halima mdee na waraka wa maaskofu ndio iliyobamba kwenye media ninazofuatilia mimi hizo za udaku zizifuatilii kabisa.
 
Duh [emoji23][emoji23] unaamini huo upuuzi watu wote wanaujua?kuna tabaka dogo la wambea,watu wa burudani na wale ambao maisha yao yapo IG hizo habari ndio saizi yao sisi wengine jana ilikua ni bia after bia.
Kwaresma tupa kule...
 
Back
Top Bottom