Bablee yuko wapi?

Mtanzania Mkenya

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
238
387
Jamaa alitamba sana na vibao vyake moto moto kama Kizizi, Mapenzi Vionjo na Chagua Moja. Ila amepotea kwenye game saivi.

Naomba nijue yuko wapi na anajishughulisha na nini?
 
Jamaa alitamba sana na vibao vyake moto moto kama Kizizi, Mapenzi Vionjo na Chagua Moja. Ila amepotea kwenye game saivi. Naomba nijue yuko wapi na anajishughulisha na nini?
mpenzi niondolee hiki kizizi, niondolee kizizi kukupenda wewe nilikizi umukusudia kunipa uchizi, si ungenienzi sio hirizi, kwa kifupi kizizi.
 
Kawa Mario siku hizi...alikuwa analelewa na mdada flani ivi mjini,bt cjui km bdo yuko nae coz dogo kapigika sana mpk maji ya madumu alikuwa anauza,utozi mwingi na bangi ndo zilimponza!anajitahidi kutaka kurudi kwny game bt anashindwa
 
Jamaa ilikuwa namkubali sana kipindi hicho. Niliamini atakuja kuwafunika watoto wote wa G Record. Nimeskitika kusikia hivyo aisee. Ila yote maisha. Tunaishi na tunajifunza vitu mbalimbali kulingana na experience.
 
Wote waliokuwa wanaiga staili ya kabyser 'Mr Blue' wamepotea kwenye game
HAPANA KABISA MKUU UNAAMBIWA BLUE NDIO KAIGA STAILI YA BABLEEE, SEMA BLUE ALIFANIKIWA KUTOKA MAPEMA NA NYOTA...STAILI ZOTE BLUE ALIKUA ANAIBA KWA HUYO DOGO KAA NA WATU WA KARIBU NA KABAYSER WATAKUPA FULL INFORMATION MKUU
 
Nilimuona huyu dogo siku moja pale t garden nilikua nampenda mno...niko tayari kumsponser kama akikubali

Watu kama nyinyi ndio mnatakiwa kurudisha vipaji vilivyopotea. Mimi binafsi naamini dogo ana kipaji sana. Tatizo mziki umebadilika sana sasa ivi. Unafkiri anaweza kurudi na nguvu kama zamani akipata management nzuri?
 
HAPANA KABISA MKUU UNAAMBIWA BLUE NDIO KAIGA STAILI YA BABLEEE, SEMA BLUE ALIFANIKIWA KUTOKA MAPEMA NA NYOTA...STAILI ZOTE BLUE ALIKUA ANAIBA KWA HUYO DOGO KAA NA WATU WA KARIBU NA KABAYSER WATAKUPA FULL INFORMATION MKUU
Nilipoona huyu jamaa kasema eti kaiga stle ya bluu nilishangaa mno nadhani bableeni ujana na marafiki ambao niliwahi kumuona nao siku za nyuma...ila ana kipaji kuliko huyo blue na diamond
 
Dah! Nnavyojua mimi mkuu ni kuwa Blue alitoka mbele ya Bablee na yeye ndio mwanzilishi wa ile style ile ya kuimba na kuchana na mapozi mengi na mpaka design ya kuvaa kama Fabolous vile. Nimeshangaa kuskia kuwa Blue ndiye kamuiga Bablee. Hebu fafanua zaidi mkuu.
 
Watu kama nyinyi ndio mnatakiwa kurudisha vipaji vilivyopotea. Mimi binafsi naamini dogo ana kipaji sana. Tatizo mziki umebadilika sana sasa ivi. Unafkiri anaweza kurudi na nguvu kama zamani akipata management nzuri?
Naamini kabisa ataweza, jaribu kumcheki q chillah, nadhani uzuri wa bablee kwa nilivyomuona mara ya mwisho hakua na uraibu wowote, alikua anakunywa safari yake...unga no
 
Nilipoona huyu jamaa kasema eti kaiga stle ya bluu nilishangaa mno nadhani bableeni ujana na marafiki ambao niliwahi kumuona nao siku za nyuma...ila ana kipaji kuliko huyo blue na diamond
Aliweka utozi mbele kuweka future mbele!
 
Dah! Nnavyojua mimi mkuu ni kuwa Blue alitoka mbele ya Bablee na yeye ndio mwanzilishi wa ile style ile ya kuimba na kuchana na mapozi mengi na mpaka design ya kuvaa kama Fabolous vile. Nimeshangaa kuskia kuwa Blue ndiye kamuiga Bablee. Hebu fafanua zaidi mkuu.
Ujanja kuwahi, blue aliyoka na kitu BLUE alaja na MAPOZI, hiyu Bablee alikuwa anasubiri nini?
 
But jamaa naskia alikuwa na urafiki wa karibu sana na Diamond Platnumz. Hivi huyu jamaa hawezi kumuunganisha WCB ili aendeleze talent yake?
 
Aliweka utozi mbele kuweka future mbele!
Inawezekana...ni suala la kumuelewesha tu..
Na limekaa kisaikolojia zaidi kuliko kifedha zaidi...sijui mawasiliano yake ningejaribu kumsaidia japo siko kwenye industry ya music lkn nina connection na wadau muhimu ambao wakiwezeshwa...watamuwezesha
.....hakuna kinachoshinda pesa
 
Ujanja kuwahi, blue aliyoka na kitu BLUE alaja na MAPOZI, hiyu Bablee alikuwa anasubiri nini?

Kweli kabisa Blue aliwahi kutoka mbele na mi naamini kabisa Blue ndiye mmiliki wa style ile ya kuimba na kurap. Jamaa alitoka unique sana kama Fabolous vile.
 
Dah! Nnavyojua mimi mkuu ni kuwa Blue alitoka mbele ya Bablee na yeye ndio mwanzilishi wa ile style ile ya kuimba na kuchana na mapozi mengi na mpaka design ya kuvaa kama Fabolous vile. Nimeshangaa kuskia kuwa Blue ndiye kamuiga Bablee. Hebu fafanua zaidi mkuu.
soma vizuri comment yangu, nimesema aliyeanza kutoka ni blue but mwanzilishi wa staili ni bablee...kujua kitu sio kutoka mjini kutoka kunahitaji akili na fitna na maarifa mengi sana mjini.. bablee alikua vizuri sana but ndio ivyo tena..nasema hivyo coz hawa watu nawajua vizuri sana toka wapo kwenye harakati za kutoka kimziki.. so blue kila kitu enzi hizo alikua ana-copy and paste kutoka kwa dogo..
 
Nilipoona huyu jamaa kasema eti kaiga stle ya bluu nilishangaa mno nadhani bableeni ujana na marafiki ambao niliwahi kumuona nao siku za nyuma...ila ana kipaji kuliko huyo blue na diamond
haha kweli dogo alilewa sifa na alizidisha utozi na u-bulazaaaa men..talent without brain ni zero... haha hapo kwa diamond umeniacha kidogo ..hehe vipi je unaona amemzidi na king kiba au ni dadamond tuuuu..
 
Nimeiona video ya kwanza ya bablee na ninayo hadi leo mwaka 2007 na niliipenda mno kuna dogo mwingine alikua sharobaro records nae alikua poa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom