Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mama wa Tupac amefariki usiku wa jumatatu kuamkia jumanne. Taarifa zinaeleza amekufa kwa matatizo ya moyo. ================ SAUSALITO, CA (KTVI)- The mother of legendary rapper Tupac Shakur has...
0 Reactions
69 Replies
17K Views
Yani katika ulimwengu wa fashion unaweza kustaajabu kwa mambo mengi sana ikiwemo bei za baadhi ya vitu ambavyo ukivitazama kwa jicho la mbali kamwe hauwezi kudhani kuwa vinauzwa bei mbaya sana...
1 Reactions
273 Replies
27K Views
Manager Seven Mosha anayewasimamia Ali Kiba na Ommy Dimpoz amekanusha taarifa zilizosambaa kuwa Ommy Dimpoz amerudishwa hospitali na kulazwa ICU huko south Africa. Akiongea na Millard Ayo akiwa...
3 Reactions
29 Replies
8K Views
Ni mchezo uliojaribu kuchezwa kwa ufundi kidogo lakini kama kawaida umakini ndio unafunua kila kitu wakuhusika wakuu hapa ni Kingpin Albert Bashe maandalizi ya mbali kisiasa na kujijenga. Clouds...
24 Reactions
178 Replies
27K Views
Msanii Miriam Jolwa (Jini Kabula) ameonesha kukasirika sana kutokana na vifo mfululizo vya wasanii .Kabula hakusita kuvihusisha vifo hivyo na imani za kishirikina huku akitoa maneno makali kwa...
2 Reactions
18 Replies
8K Views
Haka kajamaa bado kanaendeleza chuki zake dhidi ya Diamond Platnumz licha ya kusainiwa WCB. Haka kajamaa kana roho mbaya sana na hata tabasamu lake akiwa na Diamond unaona kabisa ni feki kama...
2 Reactions
59 Replies
15K Views
Ulimwengu wa Mitindo na mavazi umetamalaki sana siku za hivi usoni, Muda mwingine ukitaka kununua Nguo lazima uikague sana usije ukavaa ya kike ile hali wewe ni Mwanaume. Katika pitapita zangu...
8 Reactions
111 Replies
16K Views
Aliyekuwa mpiga picha wa Diamond Platnumz (Kifesi) atoa ushauri kwa msanii huyo kuhusu kumuita side kid mtoto aliyezaa na mwanamitindo Hamisa Mobetto anayejulikana kwa jina la Dylan.
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Habari. Hivi huyu jamaa yupo wapi. Anafanya nini? Maana alivuma sana miaka ya 2000 mwanzoni kwenye BBA. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
39 Replies
11K Views
KWA wanamitindo wakali Bongo, Hamisa Mobeto ni moja kati ya warembo ambao wanafanya vizuri na kusumbua kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kazi zake na skendo za hapa na pale. Lakini kiki kubwa...
3 Reactions
346 Replies
29K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hayawi hayawi sasa yamekuwa! Wale mliokuwa mnapuuza movies za kibongo sasa kumbuka mdomo wazi baada ya serious...
1 Reactions
75 Replies
10K Views
Mtangazaji wa Ala za Roho Clouds FM Diva the bawse Usiku huu Hajalala Na Katika ukarasa Wakae wa Instagram kaamua Kufunguka Kuwa Kwa Sasa Hawezi kuzaa Kutokana Na Mirija ya Uzazi kuziba kitu...
6 Reactions
284 Replies
82K Views
Msanii namba moja Tanzania, Diamond Platnumz ame-share picha ya jengo ambalo litatumika kama makao makuu ya ofisi za Wasafi.
20 Reactions
290 Replies
79K Views
Mwanamuziki mwenye sauti laini yenye kukonga nyoyo za mashabiki asiyekuwa na makuu kutoka mkoani kigoma anayetamba na kibao cha #yanje Omary faraji nyembo "ommy dimpoz" amethibitisha ni mgonjwa...
3 Reactions
197 Replies
31K Views
Aliyekuwa miss Tanzania nambari mbili Jocate Mwegelo "jojo" amefunguka kuwa kuna mtu anamtamani sana kimapenzi na anamvutia kasi kumpata Kupitia bonge moja la show weekend "the playlist" Kidoti...
1 Reactions
63 Replies
23K Views
Aman iwe nanyi wapendwa Free bob wine ni neno fupi lakin lenye maana kubwa sana kwa wasio mjua bob wine ni msanii wa kizazi kipya kutoka uganda msanii huyo ambaye pia ni mbunge wa huko uganda...
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Wadau hapa JF kuna kila aina ya watu. kua kipindi nilikuwa nchi za watu nikaomba msaada wa namba za mwalimu wangu wa Secondary ambaye alishakuwa Headmaster. na nilizipata kupitia hapa hap JF na...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Mama wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’. Siku chache baada ya bethidei ya mjukuu wake, Latifah Nasibu ‘Tiffah’ kubuma Afrika Kusini ‘Sauz’, mama wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Najiuliza hasa faida ya Kiba kusainiwa na timu Coast ya Tanga,hii ni dalili tosha kabisa jamaa muziki ushamshinda mana kwa vyovyote hawezi kubalance kazi zote mbili huku kambi na mazoezi ya...
5 Reactions
79 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…