HII KITU NIMEKIPATA KWA MSAADA WA MTANDAO WA DUBAI
Dah wana uturn ni kwa masikitiko makubwa mno nawaletea habari hii, Jokate kamnyakua Diamond kutoka kwa wema. Yani navyowaeleza ni kwamba kwa siku...
Siku ya leo umekua ya burudani tosha kwangu,kuna mapini yameshushwa leo kule Youtube.Video kali na burudani imeenda kwa Lavalava,wimbo bora kwa Nay wa mitego na burudani imeenda kwa Maua sama...
Ripoti: Wasanii 10 wa muziki wanaotajwa kulipwa pesa nyingi kwenye show Tanzania!
Tasnia ya muziki nchini Tanzania na Afrika Mashariki inakuwa kwa kasi zaidi licha ya kuwa inakumbwa na changamoto...
Felix Wazekwa amtungia Papa Simaro Lutumba ngoma hii. Lutumba 80 kazawadiwa mtaa Kinshasa (Avenue Lutumba Simaro) na Kabila na Kuchongewa sanamu kama ilivyo kwenye hiyo video. Kizuri zaidi...
Nimeshangaa, Nimesikitishwa Na nimehuzunishwa Kwanini Vyombo Vya habari Vikubwa Tanzania Kama ITV,TBC,STAR TV,CLOUDS TV,Na vingine Vimekaa Kimya Katika Kureport Tukio alilofanya Diamond Leo...
Msanii Diamond Platnumz ambaye anasheherekea siku ya kuzaliwa kwake Uko kwao Tandale.Mambo yamekuwa si mambo Wageni walikwa mbalimbali wamealikwa ikiwemo
Haji manara
Vanesa Mdee
Reginald Mengi...
Salute..
Kwa wale vijana wa zamani, mnzikumbuka muvi za wakongwe wakali wa kung fu kutoka China. Enzi hizo miaka ya 70 Hongkong ndio kulikua Na solo LA filamu huku muvi karibia zote zikitengenezwa...
Katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa msanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Diamond Platnumz amewaahidi mambo yafuatayo wakazi wa Tandale (mahali alipozaliwa na kukulia)...
1...
Ubuyu unaoenea kwa siri kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, ni kuhusu ndoa ya super star Wema Sepetu inayotarajiwa kufungwa hivi karibuni.
Chanzo cha ubuyu kinaeleza kuwa hatua zote muhimu...
Nina mdau wangu mmoja yeye ni shabiki mkubwa wa bwana kiba ila kakata tamaa kabisa kwa sasa..
Mtazamo wangu kwa bwana kiba ni kwamba....
Nyimbo aliyotoa na kundi lake ni ya kawaida, ci ya kuimba...
Kendrick Lamar,
Tarehe 25.06.2018, ndani ya jengo la burudani la L.A Live, lililotulia pale kwenye Mtaa wa South Park, Downtown, Los Angeles nchini Marekani, kituo maarufu cha televisheni...
Mwanahabari wa TBC1 Mbozi Katala amesema kwamba Diamond Platnumz alikuwa na maisha magumu sana hapo mwanzo maana kuna siku aliwahi kwenda TBC1 na kumwomba poda. Ameongeza kuwa siku hiyo hakuingia...
Kwenye nchi za Ulaya na Marekani ni ufahari mtu kununua kitu chochote kile kilichotumiwa au kumilikiwa na mtu maarufu ama mashuhuri kwa bei kubwa sana na kuhifadhi kwenye majumba yao.
Lakini ni...
Waungwana karibuni kwa maoni yenu. Ni matumaini yangu nyimbo zote mbili mmeshazisikia sasa ni wakati kutoa maoni yenu je ni wimbo upi umekubamba zaidi kati ya Hamissa Mobetto "madam hero" na wimbo...
Mmh hilo jumba la diamond alilopost huko insta ni balaa, hamisa alikua Ana haki ya kuroga aiseh🤣🤣, hongera bwana chibu, halafu nilisahau kukuwish na Mimi , HAPPY BIRTHDAY...
Unakumbuka Video ya Nitarejea ya Diamond? Basi yule msichana aliyeshirikiana naye katika huo wimbo hali yake si nzuri kisanii na kimaslahi pia kisa cha kusema kuwa anauchukia huo wimbo kwani...
Wakati wa The Jackson Five Jamii iliwapokea na kuwakubali kama kundi la Muziki lililosheheni vipaji. Baadae ilibainika kuwa Michael Jackson alikuwa na kipaji maalum kuliko wenzake, na tena haikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.