Ninachompendea lulu , licha ya kuwa alikua mdangaji kama wadada wengi wa mjini , na pengine ameshalala na mastaa wakubwa na viongozi mbali mbali wa serikalini ambao Wengine hatuwajui, lakini huyu...
Nasikiliza wimbo wa Mandojo na Domokaya, unaitwa Dingi, huu wimbo unaonekana kama ni true story ila sijabahatika kusoma au kusikia sehemu yoyote wakithibitisha kuhusu hili.
Jamaa wanazungumzia...
Msanii ak 47 wa uganda,amefarik ghafla baada ya kuteleza kwenye bafu alipokuwa bar.Mungu ampumzishe salama
Details as to the cause of death are still...
Naona hivi sasa Ustaa umeanza kunukia kwa video vixen maarufu nchini , Official Lynn . Awali habari za kuwa vixen huyo anatoka na diamond zilianza kuvuma miaka ya nyuma kidogo , mpaka ikadaiwa...
Rapa Kanye West amebadilisha jina lake kuwa Ye.
Akitangaza mabadiliko hayo kwenye Twitter siku ya Jumamosi, aliandika: "Nimekuwa nikijulikana kama Kanye West. Mimi ni YE."
West, 41, amekuwa...
Kwema humu..
kwa Tanzania unamkubali dj yupi anaecheza nyimbo za Hip Hop..?
na kituo gani cha Radio kinachocheza Nyimbo za Hip Hop
mimi naanza na
1. Dj Jeff Jerry-Kiss fm (Jafari mzonge) huyu...
Fiesta imeanzia moro jana, nimebahatika kupata picha chache kutokana na picha safari hii kuwa hadimu.
Lakini naambiwa Fid Q ndio alikuwa nyota wa mchezo.
Niliposikiliza voice note ya hamisa mobeto akiongea na mganga au shekhe kama anavyodai, nimegundua tabia halisi ya hamisa mobetto
1. Hana roho mbaya - Akiongea kwa sauti ya upole na ya...
Hongera kwao navykenzo kwa wimbo wa KATIKA umefikia watazamaji Milioni moja ndani ya siku mbili na bado unashika nafasi ya kwanza kwa kutazamwa Tanzania.
Na bila kusahau clouds media wamempost...
Inaonekana Diamond ako obsessed mostly with light skinned girl , huenda huu ndo ugonjwa wake kwa wanawake, ukichunguza kwa umakini list ya warembo aliowahi ku date nao au kutoka nao Utagundua...
Leo nimepitia baadhi ya post insta, ingawa mm sio mpenz sana wa mtandao huo.
Katika pita zangu nimejikuta naangalia post mbalimbali za diamond. Moja wapo ni show ya namibia. Ukiangalia kwa makin...
Wanajiita wanamuziki lakini mimi nasema ni wahuni na wababaishaji ambao wameivamia fani kwa mtindo wa zima moto.
Baadhi ya wanamuziki wanaojiita ni wa kizazi kipya ni janga kwa taifa kwa kuwa...
There is a saying that , show me your friend , and I will tell you who you are , Msemo huu umekua ndivyo sivyo kwa hawa marafiki wa muda mrefu, namzugumzia mtangazaji na mjasiriamali Zamaradi...
Mungu ambariki mtoto wa Tandale, matibabu mema Hawa
niko namshughurikia now kwenda india kutibiwa... ila sikutaka kutangaza coz staki watu wachukulie msaada wangu ni kiki...but kwakuwa maswali...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ametoa kauli yake juu ya mvutano unaoendelea kati ya Wema Sepetu na team Hamisa Mobetto juu ya jina la TZ Sweetheart. Mkuu huyo alikuwa mmmoja kati ya...
nicwe mnafki hili pini lenye ladha ya "Gospel ya kutia moyo", Dogo janja kachanja mle mle kiukweli, Kaimba kwa hisia za kweli kabisa zinazotokana na wakati mgumu anaoupitia kwenye maisha yake...
yule mkongwe wa mziki wa kizazi kipya ambae pia ni mbunge wa mikumi.. ameachia bonge la video.. kwenye wimbo wake wa vunja mifupa
.ee bwana eeeh huyu mshikaji hajawai kukosea.. pamoja na majukumu...
Tusipoteze muda wote tunajua kuwa hakuna taasisi rasmi ya serikali iliyosajili rasmi jina la TZ Sweetheart kutumika kwa mtu Fulani
Je tunaliongeleaje hili kwa pande na pembe zote kwa...
Ushindani lazima ili mambo yawe sawa katika tasnia hii ya mziki.But hongera yao wote.Aslay na Mboso japokuwa wametoka group moja,Now mmoja WCB mwingine Clouds. But maisha yanaenda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.